Hongera "First Lady" Kutimiza Miaka 60!!!!!

Mke wa Waziri Mkuu Msaafu (Mh. Edward Lowassa),Mama Regina Lowassa kwenye hafla fupi ya kusherehekea kuadhimisha miaka 60 ya kuzaliwa kwake iliyofanyika leo nyumbani kwake,Masaki jijini Dar es salaam.
 
Dooooo,mambo hayo,60 yuko hivi hebu ngoja ni bonge na vijana wa mjini
 
yaani hela jamani kitu hatari sana ..huyu mama ana miaka 60 lakini ukimtazama unaweza kusema ni age mate wa kajala au wema....mweeeee..morani inakula nyama imenona grrrrrriiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…