Hongera Dr Slaaa

Hongera Dr Slaaa

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
54,502
Reaction score
43,849
Wanaukumbi nadhani picha hapa chini inajieleza yenyewe.....
249200_451736021538601_530168418_n.jpg
 
Ila watoto wa ukubwani huwa wanawasumbua sana wazee wao, maoni yangu pengine Mhe dr slaa akiwa RAIS huyu dogo atakuwa mtukutu kuliko RIZ
 
Uongozi uanzia nyumbani,sio viongozi wa Magamba.eti peleka mtoto kwa mama yake hukoooooooooo.Tena angalia huyo mtoto analelewa kwenye nyumba ya kawaida.Haya tuwekeeni picha za viongozi wa magamba sasa hivi wapo na watoto wao.Ndipo utajua wezi akina nani?
 
Mzee noma huyu anafanya mambo yake kimya kimyaa

"Nchi ngumu hii"
 
Namuona kama Pure Tanzanian,mtu anayezijua shida za watanzania,huyo anayesafiri kila siku kwa watu kwako we ndio wa maana.
 
Back
Top Bottom