Hongera Dr. Diodorus Kamala

Kwa namna ulivyolileta hili jambo, ni kiashiria tu cha kwamba taifa hili linahitaji msaada kutoka sayari nyingine ili liweze kutoka hapa lilipo!
 
afadhali ungemtolea mfano Lema maana Arusha imebadilika chini ya uongozi wa Lema na oja ni kulizunguuka jimbo Lema ni zaidi ya mara mia
 
Wewe kawadanganye mapungu wasiyo kujua wee eti mimi sina chama wakati wewe ni ccm wa kutupwa? Vilevile mimi ni mpiga kura wa kamara huyo hana chochote kile anacho kifanya zaidi ya kuendeleza ubagizi wa kiitikadi na ukiendelea kuleta ubishi wako tutamwaga mambo hadharani juu ya huyo mtu wako, umetumwa nini wewe?
 
Afadhali mkuu umemwambia ukweli huyo mtafuta sifa.Kamala hana cha kumsifia tangu aingie madarakani tunamuona anaebdeleza ubaguzi wake tu
 
Wacha mambo ya blog, sisi tupo huku bukoba mimi nipo kiziba kabisa huyo mtu ni wa hovyoooo kabisa
 
Ni wangapi hata miaka 5 inaisha hawaendagi kuwatembelea wapiga kura wao?
 
Majina ya watu si ya chama na mie sihitaji kuwa na vyama "vyao". Nilikuwemo ila ni bora usipokuwemo.
Hilo bandiko ni la septemba baada ya tetemeko, na mie nimeongea trend yake tokea January. Mbona hurudi tokea Januari ukaleta mazuri yake?

Haiwezekani asiwe na mapungufu na hao mnaowataja kama lisingetokea tetemeko mngeliwaona lini? ama walisubiri janga kwanza ndo iwe upenyo wao?

Hao niliowataja wabunge ni kwasababu ndio ukweli. Hatuna wabunge iwe CCM/upinzani waliokuwa machachari na kupendwa kama hao tokea 2010-2015 na sababu zipo. Kama wapo wengine na si hawa wewe mwenyewe utusaidie kuwataja. Kwenye haya yangu ya mwisho nilimtaja Nassari pia, mbona nilipomtaja huyo hukuhoji? ama Nassari na Muhongo ni chama kimoja?

Nimesema sihitaji na usinilazimishe nifate siasa zako za vyama lakini pia siwekewi mipaka na mtu kuwataja watu baadhi katika kuonesha msingi wa nini nakisema. Na kila niliyemtaja, yawezekana ukatafsiri kivyako lakini wote hao nimewataja positively pasi kujari ma vyama yao
 
Wahi Milembe kabla hujazidiwa. Au ndugu zake mpelekeni Milembe kukwepa kazi ya kushinda mmemfunga kamba na kumlisha. Dalili zote zinajionesha kwenye post hii
Mkichelewa mtashindwa kufanya kazi.
 
H

Hata alipokuwa Ambassador huko ulaya, Bukoba Wadau ilikuwa kila siku lazima imuweke siyo hapo tu, hata alipokuwa waziri, BW ilikuwa lazima itaangaze anachofanya. Wote ni wafuatiliaji wa blogs tunaelewa mabloggers na interest zao hivyo usiseme yeye ndo anafanya kazi. Lwakatare alikuwa wa kwanza kutoa misaada BK mjini katika zahanati na hospitali, vilikataliwa kwa amri toka wakubwa ingawa vituo vingine vilipokea. Lwakatare alikuwa wa kwanza kutembelea waathirika wa tetememeko pamoja na mbunge wa viti maalum. Hawa wabunge hawatembei na camera kama huyo unayemtaja sababu wanafanya kazi kwa kujituma siyo kuuza sura. Sote tunafuatilia matukio na mendeleo ya nchi siyo wewe peke yako.
 
Umeandika utumbo mtupu......hivi bado ni balozi?? Tueleze ametembelea kata gani alijibu hoja gani??...je kabla ya tetemeko alitembelea wapi ??? Na kwa wananchi waliopata hadhari za tetemeko amewasaidia nini kama mbunge? ..najiuliza wewe ni Katibu wa mbunge au ni mtoto wake?? ...nadhani lengo lako lilikuwa umtaje rwakatare tu basi ..mbona hujamsema mh..rweikiza wa ccm,tibaijuka wa ccm,bashanga karagwe ccm..acha kutumika utaliwa
 
Kwa hiyo safari hii mkaikilizangana nawe kwamba nimulya enkende?
 

Hivi kwa mtu mzima wa afya "Physically fit" unaweza kusimama na kuweka points za Kitchen Party na kumpongeza huyu Kamala.

Politically dead!!! Ushabiki huu usiokuwa na macho utakufikisha chumbani kwa mwanaume mwenanzako.

Hivi mbona amezeeka ghafla? Ni majukumu ya kutembelea jimbo au?

Watu wana akili wanatambua "ZE KOMEDI" ni nini.

2020 sio mbali. Kila mtu atavuna alichopanda.

Pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…