Aiseee! Hizi bahati hazijagi mara mbili.. Naona kila dalili za ng'ombe zetu 40 kubakia home tunabeba mtoto bureeeeeee..
Nikirudi, naanza kukesha sinza wcb kupush mikakati ya kuingiza single kwenye chat za billboard.. Baada ya hapo Grammy becomes a reality..
Jiandae kusani makubaliano next week [emoji23] [emoji6]