peace2007 JF-Expert Member Oct 9, 2007 212 81 Dec 16, 2013 #1 Nimefarijika leo kwa kuona Channel Ten inaonekana kwenye DSTV (CHANNEL 292). Ingawa haijawa clear sana ninaamini itaboreshwa na kuonekana vizuri. Tunafarijika tunavyoona local channels zinajiunga kwenye visambuzi kama hivi na vinginevyo. Amen
Nimefarijika leo kwa kuona Channel Ten inaonekana kwenye DSTV (CHANNEL 292). Ingawa haijawa clear sana ninaamini itaboreshwa na kuonekana vizuri. Tunafarijika tunavyoona local channels zinajiunga kwenye visambuzi kama hivi na vinginevyo. Amen
Mlandege JF-Expert Member Nov 21, 2012 1,194 569 Dec 16, 2013 #2 Ni visimbuzi mkuu peace2007,imekua faraja sana na tusubiri hayo maboresho. Hivi Mengi wa ipp yeye hana mpango kama huo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ni visimbuzi mkuu peace2007,imekua faraja sana na tusubiri hayo maboresho. Hivi Mengi wa ipp yeye hana mpango kama huo?
L Luqash JF-Expert Member Oct 18, 2012 916 342 Dec 16, 2013 #3 Mlandege said: Ni visimbuzi mkuu peace2007,imekua faraja sana na tusubiri hayo maboresho. Hivi Mengi wa ipp yeye hana mpango kama huo? Click to expand... Mengi wa IPP anataka chaneli zake zionekane katika King'amuzi chake cha Digitek tu, ili mkinunue. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mlandege said: Ni visimbuzi mkuu peace2007,imekua faraja sana na tusubiri hayo maboresho. Hivi Mengi wa ipp yeye hana mpango kama huo? Click to expand... Mengi wa IPP anataka chaneli zake zionekane katika King'amuzi chake cha Digitek tu, ili mkinunue.
Mlandege JF-Expert Member Nov 21, 2012 1,194 569 Dec 16, 2013 #4 KomboJr said: Mengi wa IPP anataka chaneli zake zionekane katika King'amuzi chake cha Digitek tu, ili mkinunue. Click to expand... Ooh! Lakini mbona Continental wao wana kisimbuzi chao na star tv inaonekana Dstv
KomboJr said: Mengi wa IPP anataka chaneli zake zionekane katika King'amuzi chake cha Digitek tu, ili mkinunue. Click to expand... Ooh! Lakini mbona Continental wao wana kisimbuzi chao na star tv inaonekana Dstv
TCleverly JF-Expert Member Feb 26, 2013 1,921 866 Dec 16, 2013 #6 KomboJr said: Mengi wa IPP anataka chaneli zake zionekane katika King'amuzi chake cha Digitek tu, ili mkinunue. Click to expand... mbona husemi kuwa zipo hata kwenye STARTIMES........
KomboJr said: Mengi wa IPP anataka chaneli zake zionekane katika King'amuzi chake cha Digitek tu, ili mkinunue. Click to expand... mbona husemi kuwa zipo hata kwenye STARTIMES........