mhalisi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,181
- 322
Kupitia vyombo vya habari viongozi wa CHADEMA wamenukuliwa wakisema wabunge wake walioko kwenye bunge maalum la katiba hawatakwenda kwenye kikao cha julai 24 alichokiitisha mwenyekiti Samuel Sitta kwaajili ya kulinusuru bunge la katiba.
Natumai wenzenu CUF na NCCR-MAGEUZI pia hawatahudhuria kikao hicho na kuonyesha UKAWA mna umoja.
Kila la kheri wanaukawa.
Natumai wenzenu CUF na NCCR-MAGEUZI pia hawatahudhuria kikao hicho na kuonyesha UKAWA mna umoja.
Kila la kheri wanaukawa.
