Hongera CCM kuitekeleza ilani ya UKAWA

Hongera CCM kuitekeleza ilani ya UKAWA

Haaa??
Kumbe kule kupokea ilani ya ACT ndio kapokea ilani ya Ukawa!!!???
Tangu lini ACT wakawa sehemu ya UKAWA???


kwahiyo ulitaka apokee ilani ya ukawa ndio athibitishe kuwa atafanya kazi na wapinzani au??msiwe wapumbavu wa kifikra jk mlikuwa mnamponda kwa kutosikiliza mawazo yenu leo magufuli anafanyia kazi baadhi ya mambo yenu bado vidomodomo mnataka nini??kama wote tunahitaji maendeleo iweje leo magufuli kutumia ilani yenu muone kama ni jambo la ajabu sana na kufikiri kuwa hakustahili kutumia ilani yenu??tuache ujivuni na upinzani usio wa msingi,wote tunahitaji maendeleo atumie ya ukawa,ya ccm,ya act,ya marekani ya china ilimradi maendeleo yanapatikana nchini...........
 
Back
Top Bottom