Hongera Binamu Kabanga umetisha

Kabanga napiga namba yako ya voda inaita kama simu za USA! Hongera sana kabanga
 
Last edited by a moderator:
Kabanga napiga namba yako ya voda inaita kama simu za USA! Hongera sana kabanga


Hahahaa... Saiv yupo USA nipo mimi PS wake! BTW unaweza kupiga hiyo namba nyingine nikaipokea mie nikakusaidia!
 
Last edited by a moderator:
Je hilo bango tu ndio limekujuza kuwa yeye ni Dr.??
 
is it for real?

Aaallllah kaka kabanga kumbe speshalisti???

Kaka nipo kilimahewa Nielekeze nije nipime.

kabanga huyu huyu, ninayemfahamu?, Hongera sana mkuu kabanga

Kiongozi kabanga hatua nzuri sana, hongera


Ahsante sana jamani, lakini hiyo ni biashara ya kakangu mkubwa, mimi mwalimu tu....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…