A anthopody JF-Expert Member Joined Dec 10, 2024 Posts 262 Reaction score 183 Aug 6, 2025 #1 Mama Esther najua ulishamsamehe show me the way ndio maana anapiga goli za hatari,anapeperusha vema bendera ya taifa,anawainua watanzania na kuwapa furaha,viva Tz,viva taifa stars,viva mama Samia na goli la mama
Mama Esther najua ulishamsamehe show me the way ndio maana anapiga goli za hatari,anapeperusha vema bendera ya taifa,anawainua watanzania na kuwapa furaha,viva Tz,viva taifa stars,viva mama Samia na goli la mama
A anthopody JF-Expert Member Joined Dec 10, 2024 Posts 262 Reaction score 183 Aug 6, 2025 Thread starter #3 trudie said: Aisee Click to expand... Goli la video
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 43,981 Reaction score 95,419 Aug 6, 2025 #4 Huwa mna vuta bangi zenye mavi ehh?, yaani habari za baba Esther na jukwaa la siasa wapi na wapi?
A anthopody JF-Expert Member Joined Dec 10, 2024 Posts 262 Reaction score 183 Aug 6, 2025 Thread starter #5 Intelligent businessman said: Huwa mna vuta bangi zenye mavi ehh?, yaani habari za baba Esther na jukwaa la siasa wapi na wapi? Click to expand... Mpira ni siasa,hakuna kitu chochote kisichoguswa na siasa
Intelligent businessman said: Huwa mna vuta bangi zenye mavi ehh?, yaani habari za baba Esther na jukwaa la siasa wapi na wapi? Click to expand... Mpira ni siasa,hakuna kitu chochote kisichoguswa na siasa
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,363 Reaction score 10,101 Aug 6, 2025 #6 anthopody said: Mpira ni siasa,hakuna kitu chochote kisichoguswa na siasa Click to expand... Bila kusahau kuishukuru serikali ya CCM kwa migoli mikali ile kama La Kapombe... CCM OYEE...
anthopody said: Mpira ni siasa,hakuna kitu chochote kisichoguswa na siasa Click to expand... Bila kusahau kuishukuru serikali ya CCM kwa migoli mikali ile kama La Kapombe... CCM OYEE...
DELETED ACCOUNT JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 9,805 Reaction score 15,470 Aug 7, 2025 #7 Nchi hii njaa tu inatuendesha ila Kapombe na Zimbwe walitakiwa wawe wamestaafu. Wanakomaa tu ili watoto waende chooni.
Nchi hii njaa tu inatuendesha ila Kapombe na Zimbwe walitakiwa wawe wamestaafu. Wanakomaa tu ili watoto waende chooni.