hakika ushindani wa ligi utaleta soka lenye burudani na ushindani wa hali ya juuMsimu huu utakua msimu bora tangu ianze Ligi Kuu
Na hilo ndiyo linatakiwa. Tuwe na ligi boraMsimu huu utakua msimu bora tangu ianze Ligi Kuu
Sema Simba na Yanga zote viwango vyao vipo sawa.Itakuwa vema sana tukiwa na angalau timu 4 zenye viwango kama walivyoonyesha Simba msimu/mwaka huu, ili kuleta ushindani wa kutosha kwenye ligi ya ndani na kwenye mashindano ya kimataifa.
acha kufananisha Simba na vitu vya kijingaSema Simba na Yanga zote viwango vyao vipo sawa.
wanampa hasira Mo,atavuta striker hatari la bei mbayaMbombo namkubali sana kazi ipo
Vtu vya kijinga wakati ndiyo timu iliyo ku-outplay 1vs1 mwaka huu.acha kufananisha Simba na vitu vya kijinga
Kuanzia lini Simba akawa level moja na yanga timu inaendeshwa kienyeji hata Ntibazongiza kaliona hiliSema Simba na Yanga zote viwango vyao vipo sawa.
kwa hiyo Ruvu na Prison walioifunga Simba viwango vyao vinafanana? Timu ya 12 Afrika unaifananisha na timu la 145?Vtu vya kijinga wakati ndiyo timu iliyo ku-outplay 1vs1 mwaka huu.
Timu mbili tu ndiyo zimeishinda Simba mwaka huu ukiweka 1vs 1.
Kaizer Chiefs
Young Africans
Uwe unatumia data katika kuwasilisha mawazo yako. Usipende kushikiwa ubongo na Ambangile au Kitenge.
unajua maana ya 1 vs 1?kwa hiyo Ruvu na Prison walioifunga Simba viwango vyao vinafanana? Timu ya 12 Afrika unaifananisha na timu la 145?
Dah huyo jamaa anajua sana. Nilimwona kwenye ligi kuu ya Zambia.naona wamemsajili Mbombo,kazi ipo mwakani. Wanaipa hasira sana Simba hawa
Simba kakutana mara mbili na Al ahly, moja kashinda moja kafungwa, idadi ya magoli ni sawa, so kwa mfano wako ni sawa na kusema simba iko level sawa na Ahly! Seriously?unajua maana ya 1 vs 1?
Factors zote ziwe constant, kwa mwaka huu, kwa vikosi hivi Simba na Prisons wamecheza mara ngapi? Nani kamzidi mwenzake mabao?
Simba na Ruvu wamecheza mara ngapi? Nani kamzidi mwenzie mabao?
Halafu ufananishe na Yanga.
Au ukitaka msikilize Ambangile au Shaffi akuhadithie jinsi mlivyoupiga mwingi au biriani au sijui gwaride etc ....
All in all mwaka huu Simba na Yanga wamecheza 4 times Yanga kaibuka mshindi 2 times na Simba ONCE na draw ya chupuchupu.
Tumecheza four times bro, usitongee mambo uchawi, tumia data ku-argue.