Honeymoon yanini kama tumeshapimana makinikia

Honeymoon yanini kama tumeshapimana makinikia

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,245
Reaction score
2,128
Habari zenu naomba kuuliza kama tayari tumeshapima makinikia kabla ya ndoa sasa honeymoon ina umuhimu gani.
 
Ngoja waje wenye honeymoon.
 
Tunaiga mambo ya wazungu tu.
 
Kula kwa kujinafasi,full kupiga dudu,mpaka siku saba si mchezo,ukitoka hapo hamu ya papuch inapungua kidogoooooo
 
Next utauliza vacation ya nini?

Mashikolo mageni.
 
Hayina muhim sana. Watu wamekrem tu! Kama vile wanawake walivyo krem neno 'unaniua' wakati wakufanya mapenzi kumbe hili neno lilikua linatumika na ma bibi zetu maana walikua wakiolewa wakiwa bikira Kwahiyo akisema unaniua anamanisha kweli kweli kwajili ya maumivu. Sasa hiki kizazi chetu kashabajuliwa anasema unaniua ni aibu! Yani honeymoon kuleta uhalisia wake muwe hamjawahi kujamiana.
 
Hujawahi kusema unaniua wewe
 
Mnaenda kubadilisha mazingira mana mshazoeana kubanjuana godoro lile lile kila mara unatakiwa ukabadili mandhari maana hii sasa sio dhambi tena ni tendo takatifu la ndoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom