Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
- Thread starter
- #21
Vipi wewe unamtamanisha yoyote yule Kitandani? Na ulizaliwaje?
Dozi nagawa vizuri tu, karib pm
Vipi wewe unamtamanisha yoyote yule Kitandani? Na ulizaliwaje?
Wacha wee au sioNigga Pac
Oyaaaa babuuu amber rutti ulimuona vizuri lakini au una hangover bado???
Dozi nagawa vizuri tu, karib pm
Wacha wee au sio
Well said! Napenda black beauty kwakweli...! Rangi nyeupe nina Allergy nazo...Hakuna kama chura nyeusi!
Umejuaje kama unagawa vizuri hiyo dozi?
Huu ni ubaguzi wa rangi
Ww unaonekana ni mweusi..! Popote ulipo kunywa kinywaji chochote mimi ntalipia kwa M-pesa na endelea kucheka kwa furaha... [emoji4][emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuma hiyo video ya huyo dogo sanch tuione..
Inapatikana wapi niifate? [emoji848]Nilishafuta sitak dhambi
Mkuu uzungu unatuharibu sana sisi vijana..!Vijana mnashida sana...