lukule2009
Senior Member
- Sep 23, 2009
- 132
- 11
Ndio, alikuwa New York kuanzia Dec 3-5
People are forgetting that he was the minister of foreign affairs for ten years. Maybe diplomacy is where his strengths lie and that's why he is concentrating more on that.Kama "Brangelina" wata tupa misaada mimi naona hamna neno sana. Tatizo ni kwamba hiyo safari ya Marekani Dec 3-5 inaelekea haikua ina julikana na wengi. Why kaenda kimya kimya?
Hao Brangelina jinsia zao ni she au he?....Source:Majira
...Kabla ya maswali ya waandishi wa habari, Rais Kikwete alikuwa amezungumzia juu ya ziara yake iliyomchukua katika nchi tatu tofauti na kuhitimishia Marekani alipokutana na wacheza filamu, Brad Pitt na Angelina Julie wote wakijiita kwa pamoja Brangelina.
Hivi kweli Rais anahitaji kukutana na kila star hapa America kwa manufaa gani? kupiga picha... ?
Source:Majira

Mkuu umesahau.Tutatangazaje utalii wakati Loliondo wanyama wanachukuliwa wazimawazima?Nenda Saudia kuna zoo za nguvu za wanyama kutoka Tanzania.Sina hakika kama yupo right au hapana!! Hata hivyo, jambo moja nimegundua JK analo; nalo ni kuifanya TZ ifahamike kupitia ulimwengu wa burudani. Sio siri, huwezi kutangaza utalii wa nchi kama hii ambayo haijulikani kwa watu wa kawaida. Alifanya attempt ya kuwaleta Real Madrid, sijui ameishia wapi na ndoto hiyo( au labda ilikuwa nitoke vp). Budget iliyopita, ushuru umeondolewa kwenye kamera za kisasa za kuchukulia matukio ya filamu. Nahisi, ilikuwa ni proposal ya JK. Si ajabu anahisi film industry ikikua basi nchi itafahamika na kutangaza utalii itakuwa rahisi vilevile. Msisahau, Jamaica imefahamika kupitia muziki, Nigeria kupitia football n.k! Nahisi, JK anatamani sana wacheza filamu wa USA wafanyie filamu zao TZ, kwa dhana ile ile! Na lazima tukubali, hawa jama ni mastaa, hawawezi ku-pay attention kwa mtu kama Mangunga, huo ndo ukweli wenyewe. Don't forget, kutangaza utalii kwa nchi kama TZ ni ngumu ile mbaya, coz' mtu unalazimika kutangaza vitu viwili kwa wakati mmoja, nchi na vivutio. Mathalani, watu wanaijua South Africa, kwa hiyo wa2 wa tourism sector kule wanachohitaji kufanya ni kuwaambia tu walengwa wakienda SA watakuta nini. Hili kwa TZ ni tofauti!!! Lakini TZ unaposema una Mt. Kilimanjaro, walengwa watajiuliza hiyo TZ iko wapi!!! Sizani kama m2 wa kawaida, ambae ndo mtalii mwenyewe anaweza kuvutika kuja kupanda mt. K'njaro eti tu kv kuna theluji kileleni wakati hata TZ yenyewe haifahamu. Inawezekana aproach yake sio sahihi, lakini nahisi lengo lake ni zuri.
sijaelewa?yaani JK alienda tena USA kinyemela na kukutana na hawa waigizaji filamu?mungu apishe mbali kama haya ni kweli basi hatuna rais TZ