Honda Steed Virago ipo sokoni

Honda Steed Virago ipo sokoni

Nyundo
hiyo bike ni ya mwaka gani? imetembea km ngapi
na wewe umeitumia kwa muda gani? je ulishawahi fungua engine?
 
Nyundo
hiyo bike ni ya mwaka gani? imetembea km ngapi
na wewe umeitumia kwa muda gani? je ulishawahi fungua engine?

Mkuu ngoja nitacheck kwenye card yake mi nimetembelea miaka 2 na engine haijawahi funguliwa
 
Mkuu Nyunzo hiyo honda ndo uloweka kwenye avatar yako umeipigisha lumbesa ivo???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom