ndama1
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 278
- 96
Ndugu JF wenzangu leo katika pita website za usedcars Japan nimeona gari aina HONDA HR-V SUV drive 4WD engine cc1600 bei yake 2500 dollas. Ninavyojua mimi gari hizi bei yake huwa juu sana lakini hii bei cheap na cc ndogo na nimeipenda kutokana na kipato changu na hali ya barabara ninakoishi.
Naomba mawazo yenu kwa mwenye aideas, comfortability, consumption ya mafuta na upande wa vipuri.
NAWASILISHA HOJA.
Naomba mawazo yenu kwa mwenye aideas, comfortability, consumption ya mafuta na upande wa vipuri.
NAWASILISHA HOJA.