mkuu mi nayo ya 97 si poa sana nimetumia mwaka wa 5 sasa spea za kumwaga ila uzuri ukidunga una sahau hata mafuta hayali sana kama ikiwa kwene hali nzuri na zinatulia barabarani
Enzi zile ukitaja Honda watu wanajua ni pkpk sanasana watakuuliza ina bomba ngapi ? enzi hizo ukiwa na pkpk bomba nne mabibi unapata bure. gari ilikua ni ndoto kulipata. kumbe leo kuna gari inaitwa honda ?