Honda crv 1996

Honda crv 1996

mwakibete

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
3,069
Reaction score
2,313
Habari ya weekend wana jamvi!

Tafadhari, nahitaji kununua HONDA CRV-Used.

Je zina matatizo gani ambayo ni common?

Je ni gari nzuri kwa matumizi ya mwenye kipato cha kawaida?

Msaada wenu unahitajika wana jamvi.
 
Ni nzuri sana ila tafuta crv model Rd5 iko juu consumption ya petrol ni superb inatulia barabarani na ina kasi
 
Je honda ace125 ikoje kama unaipata vzur nataka kununua pia.
Thanx
 
mkuu mi nayo ya 97 si poa sana nimetumia mwaka wa 5 sasa spea za kumwaga ila uzuri ukidunga una sahau hata mafuta hayali sana kama ikiwa kwene hali nzuri na zinatulia barabarani
 
Vipi ulaji wake wa mafuta? Upatikanaji wa spare pia?
 
Ni nzuri sana ila tafuta crv model Rd5 iko juu consumption ya petrol ni superb inatulia barabarani na ina kasi

mshana jr, yenyewe ni crv model RD1 ya mwaka 1996 with cc1600. Please, ushauri wako mkuu
 
Last edited by a moderator:
Enzi zile ukitaja Honda watu wanajua ni pkpk sanasana watakuuliza ina bomba ngapi ? enzi hizo ukiwa na pkpk bomba nne mabibi unapata bure. gari ilikua ni ndoto kulipata. kumbe leo kuna gari inaitwa honda ?
 
mshana jr, yenyewe ni crv model RD1 ya mwaka 1996 with cc1600. Please, ushauri wako mkuu

Mkuu mi najuaga model iyo RD1 Ni CC 1970 - 2000,mana yangu ni ya mwaka huo huo ila cc si 1600 kumbe zipo za cc 1600.
 
Last edited by a moderator:
mshana jr, yenyewe ni crv model RD1 ya mwaka 1996 with cc1600. Please, ushauri wako mkuu

Rd 5 iko juu tofauti na Rd 1 ina nafasi kubwa zaidi na niimara zaidi nimetumia zote nimegundua Rd5 ni far better than Rd 1
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom