Hizi gari aisee nazipenda sana mundo wake.Ila sijui kwanini watu wanazichukia baadhi yao.
Kama sikosei ni 4WD hizi?
Halafu Mkuu shusha bei uendane na soko,bei ipo juu,maana kwenye zoom kunamtu anaiuza kwa 5m kama sikosei ya 2001
Maana hapa Dubai pia Show rooms kibao kuzipata tabu,hii inamaana toleo linapotea kama ilivyo baloon bongo fleva