Kwanini uhangaike au hujasikia jk kaenda Kwa wajepu na wamemuambia wanakuja kujenga kiwanda kabisa cha pikipiki wameona watanzania tunapenda sana Pikipiki..... ila Kenya Tayari kiwanda kimeshafunguliwa na kishaanza kuzalisha pikipiki za Honda... unaweza agiza bei ni poa sana... 250 zipo