Hon Mwakyembe kama wewe unachimba dawa angani waache maskini tuchimbe chini tafadhalii

utaweza kuchuchumaa unye ndani ya gari?

Kwa amri ya Mwakyembe, tutalazimika kufanya hivyo!! Mbona HOSPITALINI tunalazimika kuchuchumaa kwenye bedpan. Tunamuomba Mwakyembe awaagize wenye mabasi kununua bedpan za kuchimbia dawa na wasafiri wa mabasi yao
 
Back
Top Bottom