Hon. Kikwete with teachers from Jamaica

Hon. Kikwete with teachers from Jamaica

Liverpool2005

Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
43
Reaction score
39
I came across an interesting story about Tanzania. While going through one of the news sites that I have regularly read since 2009, I found a story about the Jamaican prime minister, Portia Simpson Miller, promising to ‘help’ Tanzania with Maths and Science teachers.-

The story appeared in the Jamaica-Gleaner, a newspaper that was established in 1834. It is interesting to note that the paper referred to Tanzania as a southern African nation. Jamaica’s PM met President Jakaya Kikwete in Ethiopia during the African Union celebrations where she is was reported to have said, “I will look for those teachers once I return home. We will support you as much as possible because I know you are in great need of teachers in your country.”

Interestingly, I had seen another story before about how Tanzania was to get athletics coaches from Jamaica. That is something to take note of since the small Island nation has a reputation of producing the fastest men as exemplified by Usain Bolt.-

Tanzania has long had a shortage of teachers not just for Maths and Science. In 2007, a Tanzanian friend called Evode Kabwogi told me one of the easiest ways to make money in Tanzania would be for me to stay and teach English and computer skills. Of course that was before he explained how difficult it would be for me to get a work permit.-

I would like to believe that President Kikwete was not serious with this request but only making small talk with the Jamaican leader. Otherwise it is obviously easier to source teachers from Uganda or Kenya than Jamaica. Rwanda has done it before so why not Tanzania? Unless, of course, the whole EAC talk is just another bluff. Personally I think Tanzania can even exchange Swahili teachers for Maths and Science teachers as well as English language ones with her neighbours.-

Blog: www.ssenyonga.wordpress.com
 
ina maana hatuwezi kuwa-train walimu wetu na kufikia kiwango kizuri cha ufundishaji? huu ni upuuzi wa hali ya juu. jk amewadhalilisha walimu wetu.
 
ina maana hatuwezi kuwa-train walimu wetu na kufikia kiwango kizuri cha ufundishaji? huu ni upuuzi wa hali ya juu. jk amewadhalilisha walimu wetu.

Shida sio kutrain walimu, Shida ni nchi haijapenda kuwa na walimu wa fani hizo.
Hebu angalia malipo yanayofanywa kwa walimu wa masomo ya Sc hapa nchini!!! Hayavutii walimu kuendelea kusota masaa mengi kwa ujira huo, PIa angalia walimu wangapi wanaohama fani hizo. Hebu pita vyuo vya ualim na tuweke wazi takwimu za walimu wa Sc waliokuwa Trained na wako wapi sasa.
Hata hivyo angalia vijana wanaomaliza PCM na PCB, CBG na EGM walivyojaa. Lakini hawataki kuelekea huko kulingana na maslahi duni, hali ya kuwa bado kuna uwezekano wa kusaka green pasture katika sekta zingine za Sc.
Mi mwenyewe binafsi Napenda kufundisha masomo ya Sc lakini mshiko wanaotoa haunivutii kufundisha bora niendelee kuuza vitumbua na Andazi zangu mtaani.
 
ni aibu kwa rais wetu kuomba wataalamu kutoka katika nchi ndogo ambao aulingani ata na mkoa mbeya.
 
nani atawalipa?
Watalipwa kiasi gani?
Kwa nini wanafunzi waliofaulu vizuri masomo ya sayansi hawapendi kujiunga na ualimu ?
 
nani atawalipa?
Watalipwa kiasi gani?
Kwa nini wanafunzi waliofaulu vizuri masomo ya sayansi hawapendi kujiunga na ualimu ?
Na wanaojiunga na ualimu hawakai muda mrefu wanaacha . Nina rafiki yangu alikua mwalimu mzuri sana wa chemistry lkn ameacha anafanya biashara. Sijui tatizo la walimu nchini kwetu litaisha lini .
 
Sijui kwa nini Rais wetu anaona fahari kuombaomba! Just imagine: wewe ni baba wa familia, kila siku unapita nyumba hadi nyumba kuomba, leo mchele nyumba hii, kesho unga nyumba nyingine, nk huku hukai na watoto wako angalau kujua kama wameenda shule au la! It is shameful indeed!
 
sipati picha ki-english cha wajamaica, sijui itakuaje madarasani maake hata wahindi wameshindwa
 
Cha ajabu wakilipwa na tz watalipwa vzr kuliko wa-tz
 
Ina maana ameshindwa hata kutuomba graduates tumsaidi wakati anatrain walimu wengine?
Mh Rais unatuaibisha huko nje.
 
Documents zote zilizoanisha matatizo ya elimu, nini chanzo chake na nini kifanyike kafungia kabatini, by the way atapata wapi muda wa kusoma ili hali kila siku yuko angani? hata akirudi, kazi ni kutafuta mbinu za kuidhibiti Chadema.

TZ tunalo tatizo kubwa sana kwenye Leadership. badala ya kutatua matatizo kuanzia kwenye mizizi, tunakimbilia matawi, matokeo yake mizizi inaongezeka unene kila mwaka.

Ni matusi makubwa kutuletea waalimu kutoka jamaica wakati tunao watu wengi wenye uwezo wa kufundisha hapa nchini angalau hata kwa hiyo nusu ya mishahara/allowance unayotaka kuwapa Wajamaica. Kila mwaka watu wanamaliza vyuo vikuu. au Watanzania hawastahili maslahi mazuri?

Mr. President, If possible. off course it can be possible only if you have a good will. Just stop flying from one country to another, na sasa you have flown enough. it is time sasa utulie angalau usome yale uliyoyarundika kabatini tangu 2005. Mbona yana majibu yote ya matatizo mengi katika sekta nyingi ikiwemo elimu?
 
Kikwete akiwa nje ya nchi huwa anapagawa na kuanza kuongea pumba. Kumbukeni statement yake kuhusu rwanda kupatana na waasi wa FDRL inavyozidi kutujengea chuki kwa wanyarwanda. Kama hawezi kujenga hoja apunguze safari
 
Sijui kwa nini Rais wetu anaona fahari kuombaomba! Just imagine: wewe ni baba wa familia, kila siku unapita nyumba hadi nyumba kuomba, leo mchele nyumba hii, kesho unga nyumba nyingine, nk huku hukai na watoto wako angalau kujua kama wameenda shule au la! It is shameful indeed!

"Jamaican prime minister, Portia Simpson Miller, promising to ‘help' Tanzania with Maths and Science teachers"

hakuna anayekataa msaada ...! mind u .. walimu toka nchi nyingine they might teach us something new ... hujaona nchi zenye walimu toka sehemu / mataifa mbalimbali.. hujajiuliza kwanini..?

NAMPONGEZA JK KWA HILI....
 
Siyo yeye, ni washauri wake akina Kawambwa & co akiwemo Mwigulu Nchemba. Hajui kwamba kwa kuwaleta hao jamaa walimu wazawa watazidi kukata tamaa! Kwa nin asiwaboreshee mazingira walimu wetu japo kidogo tu kuwaongezea morali! Ukichek matokeo ya f4 upande wa sayansi wameyachakachua vzr, tatzo f6 matokeo hayo pamoja na kuchakachua yameshindikana. Tutafiti kwanza mziz wa tatzo kabla ya kuangalia ma/tawi. Naamin tunawalimu wazur sana wa masomo hayo ila wanakosewa heshima na serikal yao.
 
Tunajua Jamaica kuna wanariadha!! so walau kuomba makocha toka huko ni reasonable!

Je Jamaica ndiyo nchi yenye walimu bora wa sayansi na hesabu?!
Vinginevyo watatujazia wajinga walioshindwa kupata kazi makwao!

Hakuna nchi inayoweza kukupa kilicho bora kabisa ndio maana ukiangalia super powers nyingi zinainvest kwenye vipaji vyao na kuchukua vipaji vya nchi nyingine kwa gharama kubwa,maana nia ya nchi yeyote ni kujiendeleza yenyewe kwanza!
i.e with the exception of Tanzania.

Hapa kwetu brains zinaenda nje ya nchi sisi tunapiga soga na 'wazee wa sisiemu' wale wanaoishi kwa kutegemea kampeni chafu za chama na ushirikina!

Halafu tunajiuliza kwa nini watoto wetu wanafeli!!? Unafiki tu!

Elimu inahitaji uwekezaji, sio kukurupuka kwa kudhani kujaza walimu ndio watoto kuelewa na hivyo kufaulu!Tuna walimu wengi tu hapa kwetu, wangapi wanaofundisha?! Kama tulivyo na madaktari wengi tu, ila wangapi wanaotibu?! Tumeshajiuliza kwa nini?! ama kuwauliza sababu?! Maana vinginevyo ndo yale ya kumletea mtoto shati jipya la shule wakati kaptula ya shule ndo iliyotoboka! Ujuaji!!

Hizi ndizo hekaya za Abunuasi!!
 
Back
Top Bottom