Hon. Kikwete with teachers from Jamaica

Hon. Kikwete with teachers from Jamaica

"Jamaican prime minister, Portia Simpson Miller, promising to ‘help’ Tanzania with Maths and Science teachers"

hakuna anayekataa msaada ...! mind u .. walimu toka nchi nyingine they might teach us something new ... hujaona nchi zenye walimu toka sehemu / mataifa mbalimbali.. hujajiuliza kwanini..?

NAMPONGEZA JK KWA HILI....

We produce what we don't consume (wataalamu wetu sasa hivi wanaikimbia nchi kwa sababu ya maslahi duni) and we consume what we don't produce (tunahitaji wataalamu kutoka nje ya nchi kwa kuwa eti hatuna wataalamu)!

Kuna jamaa Mtanzania aliona ng'ombe wazuri sana waliozalishwa huko Namibia akamwambia mtaalamu wa ranchi kuwa aje awafundishe Watz namna wanavyofanya! Hata hivyo alivyoulizwa chuo alichosomea mtaalamu huyo wa Namibia alieleza kuwa alisomea SUA - Tanzania!!
 
"Jamaican prime minister, Portia Simpson Miller, promising to ‘help’ Tanzania with Maths and Science teachers"

hakuna anayekataa msaada ...! mind u .. walimu toka nchi nyingine they might teach us something new ... hujaona nchi zenye walimu toka sehemu / mataifa mbalimbali.. hujajiuliza kwanini..?

NAMPONGEZA JK KWA HILI....
...hawakosekani.!!!:A S-fire1:
...tuombe msaada wa wafanya usafi jiji la Dar. Linanuka kila sehemu.
Tuombe msaada kutoka Yemen, au unasemaje mkuu!
 
Back
Top Bottom