KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,711 12,067 Jun 6, 2009 #1 Naomba mnipokee hasa nikizingatia kuwa tayari nilishaambiwa hapa kuna watu waungwana. Naomba mnithibitishie hilo kwa vitendo. Asanteni Sana.
Naomba mnipokee hasa nikizingatia kuwa tayari nilishaambiwa hapa kuna watu waungwana. Naomba mnithibitishie hilo kwa vitendo. Asanteni Sana.
The Farmer JF-Expert Member Jan 7, 2009 1,658 557 Jun 6, 2009 #2 Karibu ndani ya JF - tumekupokea kwa mikono yote miwili.
Wun JF-Expert Member Jun 16, 2008 358 72 Jun 6, 2009 #4 karibu kakajambazi kila mtu anaficha ID yake.
Raia Fulani JF-Expert Member Mar 12, 2009 10,885 2,766 Jun 7, 2009 #5 KakaJambazi said: Naomba mnipokee hasa nikizingatia kuwa tayari nilishaambiwa hapa kuna watu waungwana. Naomba mnithibitishie hilo kwa vitendo. Asanteni Sana. Click to expand... great thinkers have gone
KakaJambazi said: Naomba mnipokee hasa nikizingatia kuwa tayari nilishaambiwa hapa kuna watu waungwana. Naomba mnithibitishie hilo kwa vitendo. Asanteni Sana. Click to expand... great thinkers have gone
Kaizer Platinum Member Sep 16, 2008 25,320 17,823 Jun 7, 2009 #6 mziwanda said: great thinkers have gone Click to expand... nadhani bado wapo Ila kaka Jambazi....karibu bana...
mziwanda said: great thinkers have gone Click to expand... nadhani bado wapo Ila kaka Jambazi....karibu bana...
KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,711 12,067 Jun 8, 2009 Thread starter #8 Asanteni wote hasa juu kwa makaribisho yenye batasamu. Naombeni mnielekeze jinsi ya kuweka avatar,pia jinsi ya kubadili signiture au profile yangu.
Asanteni wote hasa juu kwa makaribisho yenye batasamu. Naombeni mnielekeze jinsi ya kuweka avatar,pia jinsi ya kubadili signiture au profile yangu.