Hon. Freeman a. Mbowe (mp-hai constituency) you deserve congratulations

Hon. Freeman a. Mbowe (mp-hai constituency) you deserve congratulations

Mtabe

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
675
Reaction score
96
Jamani hii haipingiki hata kidogo kwa nliojionea jana, this man ni moto wa kuotea mbali!!! Au nyie wadau mnaona imekaaje hii??? Naomba kutoa hoja
 
kama kweli tunapenda maendeleo na mabadiliko ndani ya taifa hili tunapaswa kumwomba mungu awabariki na kuwapa nguvu kamanda MBOWE na timu yake.... makamanda hawa wanapojadili maslahi ya UMA hawaogopi kejeri za watawala hutumia vipaji na akili zao kufanya ushawishi ili hata wasio amini wawaunge mkono binafsi naamini ipo siku hata wasariti kama shibuda na selasini wataona aibu na kuomba msamaha.
 
Ni kweli kabisa maana wangekuwa na aibu au woga wa kuzomewa na ma fisadi sisiemu wasingeweza kuwa na ujasiri wa kutetea maslai ya umma.
 
Hahahaaa ni kwanini awe tinga tinga? maana mimi nnavojua tinga tinga likishafanya kazi nzuri ya kuweka lami haliruhusiwi tena kutembea juu ya barabara hiyo, linabebwa!
 
Mi siwaamini wote bana, we mtu kama zito unafikiri akipewa chance atakumbuka tena uzalendo? Hiyo kupewa tu kamati ya mashirika ya uma tayari amepagawa!!!!! Zito anadiriki kutumia ndege ya tanapa kumpeleka yeye toka dodoma kwenda kigoma na kisha kuja dar!!!! Huu ni uzalendo kweli? Au changa la macho tu.
 
Hapa ndipo unapoweza kutofautisha kati wabunge wa kitaifa na wabunge maslahi,

PEOPLE'S POWER CAN NOT BE STOPED WA GUN
 
Mimi nafikiri huo ni udhaifu wa mtu mmoja tu, one p'son can not spoil the whole party mbona hata mh. Mbowe aliwarudishia li v 8 lao!!!!
 
hakika mbowe amekomaa kifkira,na zaidi ana hekma na busara,hakika chadema wako juu,pia naomba nieleweke kuwa lisu ni jembe la ukweli ila wakati anapokuwa anatoa hoja zake anapenda kupaniki sana na wenje naye yuko hvi,hebu angalia mnyika alvyo smart jaman,mi si mwanachadema ila naipenda kwa jinsi inavyopangilia mambo yake
 
Hiyo aipingiki Kamanda Mbowe ni mpigania haki na utu wa mwanadamu wa mtanzania.Viva Chadema.
 
Jamani hii haipingiki hata kidogo kwa nliojionea jana, this man ni moto wa kuotea mbali!!! Au nyie wadau mnaona imekaaje hii??? Naomba kutoa hoja
ALIFANYAJE?(KWA FAIDA YA AMBAO HAWAKUONA KWENYE tv)
 
hamna kitu hapa subiri ukapokee posho yako

Mbona sijawahi kuona ukitoa hoja yoyote ya maana hapa jukwaani?zaidi ya kukurupukia hoja na mitazamo ya wenzako kuikashifu,inavyoonekana wewe ni lijitu la ovyo kabisa lisilo na mchango wowote wa maana
 
Jamani hii haipingiki hata kidogo kwa nliojionea jana, this man ni moto wa kuotea mbali!!! Au nyie wadau mnaona imekaaje hii??? Naomba kutoa hoja

Uandishi wa aina hii sio mzuri. Tunategemea uanzishe "thread" inayojitosheleza ili hata baada ya miezi/miaka kadhaa mtu akija irejea iweze kuwa na maana. Tulitegemea utuambia huyu Mbunge wa wilaya hai alifanya nini, na kililenga kitu gani, wapi na kwa manufaa ya nani. AMbayo hatimaye yamekufanya ufikie kwenye hitimisho la kumuona kuwa ni moto. Haiwezekani sote tukawa kwenye luninga au mpira au sinema sawia na wewe kushuhudia kila kinachofanyika ambacho wewe umetokea kukifuatilia.

Ni maoni yangu tu kama mpita njia!
 
Ukitaka kujua kuwa Mbowe ni jembe ulaya, kawaulize wapiga kura wake wa hai, watafute wakurugenzi wa wilaya ambao amewahi kufanya nao kazi. mmjo wao aitwae Francis Miti aliwahi kuniambia kuwa wakati akiwa DED wa hai mbowee akiwa mbunge kazi yake ilikuwa rahisi sana, wakati wabunge wa ccm kazi yao ni kwenda kupeleka majungu na kubomu mafuta kwa ma-ded wao, kazi ya akina mbowe ni kusaidiana nao kujenga halmashauri
 
Hahahaaa ni kwanini awe tinga tinga? maana mimi nnavojua tinga tinga likishafanya kazi nzuri ya kuweka lami haliruhusiwi tena kutembea juu ya barabara hiyo, linabebwa!

Hiyo ndo sawa mkuu kubebwa kwa tingatinga. Huo ndo ushujaa.
 
Back
Top Bottom