MaxShimba
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 35,772
- 4,054
Acha kufungwa na imani ya kidini ndugu MaxShimba, wewe inaquote bible, je vipi kwa wale wasio iamini?
Kama Mungu ni upendo pasi anatupenda wote na kamwe hana ubaguzi, vipo vifo vingi vya kujinyonga vimeripotiwa kwa sababu watu kuogopa au kutengwa na wengine kwa kitu wasichojitakia!
When talking about Homosexuality is not Good vs Bad na ukiegemea upande mmja kama wa kwako(dini) kamwe hutopata jibu.
Ni vema ufahamu kuwa sio binadamu tu wanaonyesha hii tabia ya homosexuality, zipo aina nyingi za wanyama zaidi ya 400 zinaonyesha tabia hii(nitakuwekea uthibitisho)
I insist again and again homosexuality is not a choice and nothing can change it, is just like the colours of our skins,, u born dark skinned you will remain with it, i am just appalled is like saying being albino is wrong!
You are wrong MaxShimba!