Homosexuality is a Disabaility

Homosexuality is a Disabaility

Ushoga hauna nafasi katika jamii yoyote iliyostaarabika! Full Stop
Inapotokea kuwa kuwa imetokana na homonal disorder mtu wa aina hii kwenye familia yenu mnamfanyaje? Usikurupuke kujibu tu as if wote timeumbwa bila kasoro. Kasoro zipo nyingi tu kama hizi zilizojaa kwenye familia zenu za gender identity disorder na sex disorder na mnazichekelea tu!
 
siku nyingine usirudie tena kutuletea huu upupu sawa?
 
Inapotokea kuwa kuwa imetokana na homonal disorder mtu wa aina hii kwenye familia yenu mnamfanyaje? Usikurupuke kujibu tu as if wote timeumbwa bila kasoro. Kasoro zipo nyingi tu kama hizi zilizojaa kwenye familia zenu za gender identity disorder na sex disorder na mnazichekelea tu!
Mkuu unataka kusema nini hasa?! Kwamba tuache ushoga na usagaji utamalaki kwa kigezo cha homonal disorder?!
 
Mkuu unataka kusema nini hasa?! Kwamba tuache ushoga na usagaji utamalaki kwa kigezo cha homonal disorder?!
Sijasema hivyo bali wengine wanapokutwa na hali hiyo tuwasaidie kwa kuwakanseli na sio kuwanyanyapaa kwani hawakuiomba hali hiyo iwatokee. Watu humu wanashupaza sana shingo na kuikemea hali hiyo bila kujiuliza chanzo cha mtu kuwa shoga ni kipi. Tujifunze kupata historia yake kabla ya kumhukumu!
 
Mkuu ninachojua sio wote wamezaliwa hivyo,wengine wameiga ,ila hata kama wameiga still they have their rights kuishi wapendavyo................lol
Unaongea nini? They have their rights...which right? Yan unataka kukaribisha ushog....mashoga wote wachinjwee nchini hatuwatakiii hata kusikiaa
 
Back
Top Bottom