Home theatre aina ya LG inauzwa

Home theatre aina ya LG inauzwa

dalushi

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
288
Reaction score
38
Wakuu bidhaa tajwa hapo inauzwa ina speaker 2 mbili kubwa standing na speaker 3 ndogo..direct flash recorder, dvd player, full scale HD play, 350W
Kwa anayehitaji nitafute kwa 0713000076
 
weka bei na picha
 
Tangazo lako halijitoshelezi mnaambiwa kwenda shule mnakataa sasa haya ndiyo madhala yake
 
Wakuu bidhaa tajwa hapo inauzwa ina speaker 2 mbili kubwa standing na speaker 3 ndogo..direct flash recorder, dvd player, full scale HD play, 350W
Kwa anayehitaji nitafute kwa 0713000076
unakaa wapi, bei ni shilingi ngapi za kitanzania, ni mpya au used, kama hiyo namba haipatikani alternative ni nini???? shule ni muhimu sana kwenye biashara
 
Asante mkuu bei tsh 380000 ni used,namba iko hewani muda wote,nipo dar kama utahitaji
 
Back
Top Bottom