Home sweet home...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
Mazee tuacheni utani tanzania sio tu tmejaliwa na mali asaili na utajiri,yani hata dada zetu[wanawake wazuri]nakupenda tanzania
 
Ha ha ha ha haaaaaah! Mbona ni kawaida hata nchi nyingine wanao kama hawa, we mshukuru tu allah kama unawapata kama hawa!
 
nimewahi kuuliza, na nauliza tena, nini vigezo vya mwanamke kuwa ni mzuri?
je ni rangi yake? ( white or black)
je ni wembamba au unene?
je ni makalio makubwa?

Nimeona picha nyingi zinazosemwa kuwa ni wanawake wazuri vigezo vinavyotumika ni Rangi nyeupe, makalio makubwa, nywele ndefu za singa(?) warefu. JE hivi ni vigezo sahihi vya uzuri wa mwanamke?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…