hahah next week tu nipo hapo.btw kwani wewe ni father's boy?! kwangu mama ndio kila kitu mkuu.nina sababu ya kumkumbuka.
kuna places nyingine ni ngumu kuonekana...
Hata na sie wa Itabagumba au Imalamakoye pataonekana, siju hata kama vitongoji vyetu vitakuwepo zaidi za sketch ya eneo, hongera hata kwa kufika kwa hisia
Kwa hii kaka hakuna sehemu utakayoikosa,mimi nimeweza kufika mpaka Ukune alipozaliwa babu yangu...
Duuh kweli teknolojia imekua siku hizi, na ndio maana nchi kama USA ni wababe maana nakumbuka miaka ya 2000 mwanzoni walikuwa wanaivuta Baghdad na kuionyesha kila mtaa mwisho wataongezea mpaka wanakuona ulivyolala ndani sasa.
hahaha tupia ya mtaani kwako basi mkuu.
Najihisi siyo mpweke tena baada ya kusafiri Virtually toka hapa nilipo mpaka home via Google Earth.Hii mitaa ndipo mama yake na kadoda11 na Ndg zake wengine wanaishi.Nakaona kakibanda ka Bmkubwa(mama yangu) kwa mbaaalii.i miss you mama.natamani wadau wengine muweke Google Earth images za mitaa yenu na hata ya Vijiji vyenu cos sasa dunia ishakuwa kijiji na google Earth iko more advanced inapenya kila pembe ya dunia.
View attachment 73402