kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,712
Najihisi siyo mpweke tena baada ya kusafiri Virtually toka hapa nilipo mpaka home via Google Earth.Hii mitaa ndipo mama yake na kadoda11 na Ndg zake wengine wanaishi.Nakaona kakibanda ka Bmkubwa(mama yangu) kwa mbaaalii.i miss you mama.natamani wadau wengine muweke Google Earth images za mitaa yenu na hata ya Vijiji vyenu cos sasa dunia ishakuwa kijiji na google Earth iko more advanced inapenya kila pembe ya dunia.