King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,642
- 94,460
mnataka ndoa zivunjike bure
mme anakamua hausigelo wee unamdeku ofisini?
Asprin, BADILI TABIA, cacico, Mtoboasiri, mmekwisha.
Afu hii sred ihamie MMU ili The Boss na kundi lake muwe aware na camera hizi
hizo cameras zako angle zake ni degree ngapi,unazo zile za getini mtu akipiga kengele naweza kuongea naye ndani halafu nikamuona?,kama unayo nipe bei na screen yake ni size gani,pamoja na brand yake.
Wadau izi security cams zinatumia usb cable na unaconect kwenye pc yako.video zinakuwa saved kwenye memory card ambayo unaweza kuitoa na kuplay kwenye computer.
waliouliza kuhusu camera ambazo unaweza kuongea na mtu( intercoms) tuwasiliane ili uweke spesho order
kwa biashara ,nyumbani ofisi nk. security cameras za bei ché ,kuzuia wezi kuangalia nini kinaendelea wakati haupo ,kamera za nje na ndani ,getini nk!
unaweza kutumia na laptop/computer yako au kuangalia kwa screen
kamera za nje 250000
kamera za ndani 300,000
wasiliana nas ata
0719777688
email; mulika22@gmail.com
Mi nataka kujua kwa ajili ya kumcheki housegirl anafanyeje nikiwa sipo. Mtoto anamwangalia? What else does she do? Haya niambie kama zinafaa kwa kazi hii.
Ni analog or Ip?
Auto, mh! Kuna matukio inabidi uyaone pale pale sio recorded maybe you can save the day. So siwezi kuona events as they occur?