. Home made FLAT SCREEN.

Ha Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah
 
Swala la heat itakuaje hapo. Hiyo tv itawaka kwa masaa machache tuu unleass chogo lote liwe nje ya ukuta na hapo swala la usalama na mvua litakuaje mkuu?
LexAid, chogo linapata ventilation ya kutosha sana kwa nje huko maana ukuta hauna unene wa kulifunika chogo lote.
 
Last edited by a moderator:
Ooyooo inaonisha kuna vibaka tele na ndo kutia cementi na hiyo si dawa hiyo maana hii mitoto ya siku hizi ni kama laana tena kwa kupiga taemu utasima kama rimonti vile au kidegetol tena haina huruma hii milaana na wote tuko nao inneo letu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…