Home is best

Mie niliwahi kula makande ya hayo maindi wenyewe waliyaunga na kweme halafu wakaniwekea mtindi pembeni na parachichi. .....
Mlo ulikuwa mtamu sana.

Hongera kufika nyumbani wakedhie wothe. .... ndambo mboa mboa...
Hehehee natumai sijachapia looh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umechapia kidogo ila nimekuelewa
 
Nakumbuka miaka ya nyuma sana. Hayo mahindi yalihifadhiwa kwa ajili ya mbegu msimu wa mvua unaofuata
 
Hii imenikumbusha kule kijijin kabisa mkuu. Kuna jiran yetu alikua anatumia hiyo stail mpaka juu ya mti
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…