Home boy kampa mimba shemeji yake

Home boy kampa mimba shemeji yake

Hii story tuu, lakin huwa najiuliza mtu amechepuka na mke wa mtu na akampiga mimba na mume hajagundua kama mimba ni ya kwake au lah, lakni mwanamke akazibitisha kichwani mwake kuwa hii mimba ni ya mchepuko, mtoto kuzaliwa ni sura ya mchepuko, Hivi huu mchepuko unaweza kudai kupatiwa mtoto wake au kulazimisha wakapime DNA iwapo mume wa ndoa atakuwa mbishi.
 
Inasikitisha sana.Bora hata kama wangekua hawajazaa hata mtoto mmoja ingekua rahis kumfuta kwenye kumbukumbu sasa imagine ushazaa nae mtoto wa kwanza..Hata ukimtimua unaona mtoto atapata tabu tu.
Yah kwel ndug yang ila ndo hivyo msela hana jinsi itabidi amtimulie mbali
 
Sasa alijuaje mimba sio yake hata kabla ya mtoto kuzaliwa? Alikuwa hampi chai mwenzie?. Basi ndio maana aliamua kuchepuka
Mume alihitaji wafanye vipimo ili kuthibitisha kama kweli mimba sio yake kitu ambacho mke hakukitarajia, hapo ndo ukweli ulipoanza kujulikana. Kumbuka ndoa yao ilianza kuwa na migogoro ya mara kwa mara kitu kilichopelekea mumewe kutomuamini mkewe, ndomana alipofaham swala la mimba alihitaji kwanza wafanye vipimo before ya kuendelea kulea mimba kichwa kichwa
 
Sasa hapo mmemshtaki kwa kosa gani??Sheria ipi ichukue mkondo wake??
 
Back
Top Bottom