Home boy kampa mimba shemeji yake

Home boy kampa mimba shemeji yake

Waswahil walishasema wema usizid uwezo.Urafik pia usikose mipaka.Siwez kuishi na kaka yangu wala ndugu yangu wa kiume ndani ya nyunba yangu .Haya mambo yalikua yanawezekana zaman sana.nitamsaidia ndugu huko hko aliko.
Yah ni kweli kbs urafiki au undug ukizidi mipaka una madhara yake. Na ndio haya yamemtokea jamaa
 
Huyo mwanamke nae mtu analishwa na mumeo amewekwa na mumeo wakazi gani huyo kujishusha hadhi yakoo bure.
Nafikiri kitendo cha mumewe kutumia muda mwingi nje ya familia kikazi ndio chanzo cha haya yaliotokea. Japo yeye anadai ni shetani tu alimpitia
 
Eliud Kipchoge Maumba ameonekana akikatiza maeneo ya Chalinze kwa spidi kali.

Tutaendelea kuwahabarisha kadiri taarifa zinavyotujia.
 
We jamaa hujui kutunga story,umetunga story mpaka msomaji nimegundua hilo.

Huyo jamaa yako ana uwezo wa kulipa pesa ili kujua nani ni mhusika wa mimba ambayo bado haijazaliwa?

Mtoto angekuwa ashazaliwa hapo Sawa.
 
Amekwambia yupo nje, hayo mambo ya kitaalamu Wang'ing'ombe hayafanyiki ila nje yanafanyika.
We jamaa hujui kutunga story,umetunga story mpaka msomaji nimegundua hilo.

Huyo jamaa yako ana uwezo wa kulipa pesa ili kujua nani ni mhusika wa mimba ambayo bado haijazaliwa?

Mtoto angekuwa ashazaliwa hapo Sawa.
 
Yah ni kweli kbs urafiki au undug ukizidi mipaka una madhara yake. Na ndio haya yamemtokea jamaa
Inasikitisha sana.Bora hata kama wangekua hawajazaa hata mtoto mmoja ingekua rahis kumfuta kwenye kumbukumbu sasa imagine ushazaa nae mtoto wa kwanza..Hata ukimtimua unaona mtoto atapata tabu tu.
 
Sasa alijuaje mimba sio yake hata kabla ya mtoto kuzaliwa? Alikuwa hampi chai mwenzie?. Basi ndio maana aliamua kuchepuka
 
Kuna matukio kwenye maisha yanasikitisha sana.
Niliamua kua vampire tu. Nakunyonya damu tu
 
Back
Top Bottom