Homa za mara kwa mara inaashiria vitu vingi sana.. Tuambie hiyo homa inafatiwa nanini? Mfano kuharisha, kutapika, kukohoa, vipele etc
Kiujumla ukiona homa ujue kinga ya mwili imeshuka, na inashuka kwa sababu nyingi
Muhimu azidi kula vizuri(maziwa, matunda, mbogamboga, samaki, maji kwa wingi etc) na kufanya mazoezi ili kuimarisha kinga yake ya mwili
Sent using
Jamii Forums mobile app