Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,599
- 2,100
Nauli zishuke bei? sijui kama iko sahihi!Katika ile hali inayoonekana ya ushindani katika usafiri wa anga kufuatia ujio wa dreamliner ya Atcl,kampuni ya ndege fastjet imeanza kuruhusu abiria kusafiri na begi lisilozidi uzito wa 23kg pasipo malipo ya ziada pamoja na kugawa viburudisho mbalimbali ndani ya ndege.
Kwa hakika ushindani unaleta tija tunaomba makampuni mengine yaje ili nauli pia zishuke bei
View attachment 828667
na vile visoda vya coka kama vya watoto wa chekechea vilipotea haraka sana.Kama Pepsi na Coka, mpaka Coka wakashuka bei kuiga bei ya Pepsi.
Panda ndege nawewe.Sawa mkuu ila sisi wa Tandahimba tunanufaika vipi na hiyo offer..?
Sawa mkuu ila sisi wa Tandahimba tunanufaika vipi na hiyo offer..?
Nimeangalia nauli DAR-KIA tarehe 14.08 (ATCL)=98,000 (one way) wakati Fastjet ni 227,000 akili ni nywele. Fastjet mkatafute kazi nyingineNimesoma mahala kwamba bei ya nauli imepanda.. kwa hiyo ni yale yale tu.. ila kulazimisha watu kula kwa kulipa zaidi watakimbiwa tu labda wawe na kifungua kinywa cha nguvu haswa kwa wale wasafirio asubuhi mapemaaaa ambao wakifika waendapo ni kazi tu kwanza
Ndege za Magufuli oyeeeeeeeee
Ila wasipate bichwa wawe wanajiongeza hao watumishi
JPM anastahili pongezi. Hoja ingepelekwa mjengoni wangeleta uswahili wao na ndege zingebaki ndotoDreamliner moja tu hofu. Zikija zile 2 zilizobaki si watafunga biashara?
Chezea JPM!
Hujamwelewa nahis kg chin ya 23 bureMchangiaji wa kwanza na umeshaanza upotoshaji. Umeambiwa uzito usizidi kilo 23.
Kuna mkwe wangu kule Nyamswa atapita pindi anakuja Tandahimba.Daraja likijengwa Tandahimba linamsaidiaje mwananchi wa Bunda?
Kuna mkwe wangu kule Nyamswa atapita pindi anakuja Tandahimba.
Hili linatuonesha umuhimu wa upinzani ktk siasa.Katika ile hali inayoonekana ya ushindani katika usafiri wa anga kufuatia ujio wa dreamliner ya Atcl,kampuni ya ndege fastjet imeanza kuruhusu abiria kusafiri na begi lisilozidi uzito wa 23kg pasipo malipo ya ziada pamoja na kugawa viburudisho mbalimbali ndani ya ndege.
Kwa hakika ushindani unaleta tija tunaomba makampuni mengine yaje ili nauli pia zishuke bei
View attachment 828667
Ile vita coka walikuwa wamelala! Walivoshtuka tayari Pepsi wameshapiga sana hela na sokoni wamejiimarisha zaidi!Kama Pepsi na Coka, mpaka Coka wakashuka bei kuiga bei ya Pepsi.
Subiri mzazi wako aumwe afu #tandahimba barabara mbovu na mzazi wako anahitaji huduma ya faster muhimbili utajua maana ya offer ...Sawa mkuu ila sisi wa Tandahimba tunanufaika vipi na hiyo offer..?
Hao ni ndugu wanacheza ngoma mojaKama Pepsi na Coka, mpaka Coka wakashuka bei kuiga bei ya Pepsi.
Mkuu dizaini kama unaomba niuguliwe na mazazi[emoji851]. Tandahimba hakuna hata ramani ya uwanja wa ndege .Subiri mzazi wako aumwe afu #tandahimba barabara mbovu na mzazi wako anahitaji huduma ya faster muhimbili utajua maana ya offer ...