Kama Pepsi na Coka, mpaka Coka wakashuka bei kuiga bei ya Pepsi.Vita ya wafanyabiashara huwa furaha kwa wateja
Bado koka na wenyewe waongeze ujazo kwenye zile take away zaoKama Pepsi na Coka, mpaka Coka wakashuka bei kuiga bei ya Pepsi.
Hivi Serengeti Lite haijashuka bei?Kama Pepsi na Coka, mpaka Coka wakashuka bei kuiga bei ya Pepsi.
Mchangiaji wa kwanza na umeshaanza upotoshaji. Umeambiwa uzito usizidi kilo 23.vizuri kama wamepunguza gharama za mizigo inayozidi kilogram 23.
ndege ikipita juu pungeni mikono juu. Ni zoezi zuri kwa viungo. Mi faida kwenu hii.Sawa mkuu ila sisi wa Tandahimba tunanufaika vipi na hiyo offer..?
na bado, watakaa tu. Fastjet hii ni enzi mpya.Atcl imewatikisa
Nyie mbakie kuwa watazamaji mta enjoy tuSawa mkuu ila sisi wa Tandahimba tunanufaika vipi na hiyo offer..?
Sio ugali kila mtu lazima ale. Air transport is not for everyone. jichange upande BUTI LA ZUNGU (Mtwara-Dar-Mtwara) utaenjoy piaNyie mbakie kuwa watazamaji mta enjoy tu
Sio lazima kila wanachofaidi wenzio na wewe ufaidi. Kama hautaki katembee na mke wa mtu uone kitakachotokea.Sawa mkuu ila sisi wa Tandahimba tunanufaika vipi na hiyo offer..?
Dreamliner moja tu hofu. Zikija zile 2 zilizobaki si watafunga biashara?na bado, watakaa tu. Fastjet hii ni enzi mpya.