Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Zifuatazo ni picha za Helikopta itakayokuwa ikitumika katika shughuli za usafiri ikitua katika Hotel ya Holiday Inn.






Nderemo na vifijo vilitawala siku ya Ijumaa tarehe 3/9/2010 ambapo uongozi wa hoteli hiyo walipozindua rasmi kiwanja chao kilichopo juu ya paa la hoteli hiyo kwa ajili ya usafiri kwa njia ya helikopta.
Habari toka kwa msemaji wa hoteli hiyo,zinasema kuwa ujenzi ulikuwa unafanyika chini ya uangalizi wa TCAA na hatimaye umekamilika kulingana na mahitaji ya sheria zote za usafiri wa anga. Lakini ufunguzi huu wa leo haumanishi biashara ndio imeanza rasmi, hapana kwa sababu tupo katika kumalizia hatua za mwisho za kiusalama zaidi.