salamu ziwafikie wapenzi wangu wa nguvu Tyta , Mndengereko , utafiti , Tized,
ujumbe 'nawapenda sana'
nawatakia maisha mema na yenye amani tele 2015 inshaallah!...

Salamu zikurudie na wewe.!
uwe na holiday njema.!
Salamu zikufikie Eshy m.s , umepotea sana na chapati nimezimiss sana... Mungu akuvushe salama....
View attachment 212465
Thanks doll. Mega love for u twin ake, kila la Kheri maNatuma Salamu kwa hawa wafuatao....
Descartes : U a the best I never had.....
Dinazarde ; Love u much my shostie....
Himidini ; U a such a nyc Friend....
Khantwe wa Ntuzu : just like u beautiful onyinyee
Heaven Sent my pachaaaa....
Le Super Pacha mwekundu
Sijamsahau Hubby mtarajiwa baby boy ake Evelyn Salt .....kubemendana ndo habari ya mjiniii....wapi mkweeee.....
farkhina , Angel Nylon Mrs Kharusy like u pipoz since napenda kulaaaa
mamDenyi thijakuthahauuu
Mwisho kwa mashabiki wooote wa Arsenal na Simbaaaa.....
Nawatakia Mwaka mpya uliojaa kheri na baraka...Mola atujaalie Afya njema, atufungulie milango ya mafanikio.....
Natuma Salamu kwa hawa wafuatao....

mkweee Kim nana nmepokea salamu kwa mikono miwili nakutakia sikuu njema pia ila untumie ka mpesa nimpikie mchumba ako pilau na beberu!!!
salamu zingine zimfike Preta popote alipo, binti mwenye mivuto yake Husninyo, Khantwe nawe nakusalimu!!!
wazee wa pm kwa pamoja nawasalimu na kaka angu asakuta same nakutakia sikukuu njema mwayego naomba zawadi....
Thank u Evelyn Salt nawe pia nikutakie sikukuu njema wewe na baby boy wetu....
Nisije nikasahau...huyo kaka yako naomba mie niwe wifi yako lol
shindwa na ulegeee kaka angu ana mtu ha ha ha