Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Mimi kwa kifupi ni mpenzi wa kutizama bunge, especially live.
Usiku wa leo nilikua nafuatilia hoja za wabunge wa CCM na wa UPINZANI.
Walikua katika kupitsha makadirio na matumizi ya wizara ya ofisi ya Rais utawala bora.
Kiukweli kulikua na msuguano mkali sana. Lakini hawa jamaa wa CCM Walikua wamejipanga sana kwa references nyingi za bunge kutokuonyeshwa live, kwamba hakuminyi uhuru wa wananchi kupata habari wala katiba haivunjwi
Wame refer katiba ya nchi.
Pia wameelezea mifumo ya kibunge ya nchi nyingi kama Uganda, Kenya, malawi, South Africa, Botswana, Zambia nakadhalika wakionyesha hakuna haki ya kikatiba inayovunjwa Kwa kuelezea taratibu za mabunge ya nchi hizo yanavyojiendesha.
Tatizo la upinzani hoja zao ni butu
kutetea bunge kulushwa live.
Wengi wameishia kulalamika tu bila kujenga hoja madhubuti.
Mbunge aliejitahidi na kama wangepatikana sita pangekua patamu ni yule wa Tanga mjini kama sikosei.
Kina msigwa, Esta Matiko wameishia kulalamikia tu.
Kuuza sura safari hii itakua ngumu sana.
Inabidi kujipanga upya.