Wewe huijui Arusha.. Kuna wilaya za Karatu,Longido,monduli..fika ujionee acha siasaNimeshtushwa kidogo na uzi uliomo humu. Vimetumika vigezo gani kwenye tathmini husika? Inawezekanaje kwa mikoa kama Njombe na Songwe kwa upya wake na kuathiriwa zaidi na ugonjwa wa UKIMWI(NJOMBE) ikaizidi mikoa kama Mwanza na Arusha.
... uko sahihi sana! Pamoja na miti ya mbao, mazao mengine ya biashara yanastawi vizuri Njombe - chai, miwati, viazi mviringo, n.k. Hali ya hewa ya Njombe inachochea pia mazao ya mbogamboga za kila aina, migomba, n.k. kustawi vizuri sana. Kimisingi, Njombe kunyofolewa kutoka Iringa kumeufanya uwe vizuri zaidi kiuchumi. Pia izingatiwe Njombe ni eneo ambalo wamisionari wa Kikristo walitia kambi muda mrefu sana hivyo suala la elimu na afya ni la kipaumbele tangu enzi. Na kimisingi hivyo ndio vigezo muhimu vinavyo-determine umasikini wa mahali.Kwa mpangilio uliowekwa wazi, inawezekana. Mikoa ya Songwe na Njombe zinapata mvua ya kutosha na kilimo cha mazao mengi hustawi kwa sana. Mkoa was Arusha hauwezi kuufikia mkoa wa Njombe hata kidogo hasa kwa upatikanaji wa mahitaji ya msingi, Chakula na ukwasi wa wananchi hasa vijijini. Mkoa wa Njombe pia una watu wengi waliopata elimu ya mkoloni na hivyo kujua kufanya biashara ya kisasa ya kujiletea maendeleo kuliko Mwanza na Arusha. Mkoa Njombe pia una biashara kubwa ya miti ya mbao kwa muda mrefu. Jina la Mkoa ni changa lakini Shughuli za kiuchumi sio changa. Kikubwa sana na tofauti kubwa iliyoonekana waziwazi ni tofauti za kina cha elimu katika maeneo.
Mkuu Njombe ni kati ya maeneo yaliyopata elimu ya mkoloni toka siku nyingi. Ni eneo lenye wasomi wengi na walioshika madaraka labda imezidiwa na Kagera + Kilimanjaro tu. Kwa elimu wako juu. Umaskini wa Njombe sio wa kukosa Chakula, malazi na mavazi.Njombe kuna population ndogo Sana kulinganisha na pato la mkoa.
Hivyo ukipigwa umaskini wa kipato unaonekana chini.
Ila kuna umaskini Sana huko njombe na bado haujaelimika.
... uko sahihi sana! Pamoja na miti ya mbao, mazao mengine ya biashara yanastawi vizuri Njombe - chai, miwati, viazi mviringo, n.k. Hali ya hewa ya Njombe inachochea pia mazao ya mbogamboga za kila aina, migomba, n.k. kustawi vizuri sana. Kimisingi, Njombe kunyofolewa kutoka Iringa kumeufanya uwe vizuri zaidi kiuchumi. Pia izingatiwe Njombe ni eneo ambalo wamisionari wa Kikristo walitia kambi muda mrefu sana hivyo suala la elimu na afya ni la kipaumbele tangu enzi. Na kimisingi hivyo ndio vigezo muhimu vinavyo-determine umasikini wa mahali.
Mimi nimepita wilaya zote za Mkoa wa Rukwa. Hakuna wilaya ya Mkoa wa Rukwa unaolingana kwa umaskini na wilaya ya Longido au Kiteto. Nashangaa sana Mkoa wa Rukwa kuwa wa kwanza kwa umaskini.
Tatizo lako unataka kuaminisha kwamba Arusha ni bora kuliko Njombe lakini hauna tafiti ulioifanya zaidi ya bla bla na maneno ya kanga mokoMh! Maradhi,umaskini,mavazi na elimu bado vipo ktk hali mbaya sana kwenye mkoa huu wa njombe na songwe. Hili ni pambio la kuwarizisha kikundi fulani.
Nimeshtushwa kidogo na uzi uliomo humu. Vimetumika vigezo gani kwenye tathmini husika? Inawezekanaje kwa mikoa kama Njombe na Songwe kwa upya wake na kuathiriwa zaidi na ugonjwa wa UKIMWI(NJOMBE) ikaizidi mikoa kama Mwanza na Arusha.
Tatizo lako unataka kuaminisha kwamba Arusha ni bora kuliko Njombe lakini hauna tafiti ulioifanya zaidi ya bla bla na maneno ya kanga moko
Kumbuka ni miaka michache tu imepita Njombe kama wilaya iliongoza kwa usafi Tanzania Na kuwa wilaya yenye choo bora.Mwaka huu Magufuli alivyotembelea mkoa wa Njombe akasema Wana ujenzi Bora wa Nyumba ukilinganisha Na maeneo mengine,sasa unafikiri watu Hawa watakuwa maskini?Mh! Maradhi,umaskini,mavazi na elimu bado vipo ktk hali mbaya sana kwenye mkoa huu wa njombe na songwe. Hili ni pambio la kuwarizisha kikundi fulani.
Ndivyo ilivyo kwa hali halisi katika miji an mikoa mingi nchini. Hata DSM hali iko hivyo.Kuna uwezekano mikoa kama ya Arusha utajiri ukawa unamilikiwa Na watu wachache tu Na waliobaki wakawa katika Hali mbaya