Hoja ya Polepole: Katiba inatengenezwa na Rais anayetoka madarakani siyo Rais aliyeingia madarakani. CHADEMA waelewe hili

Huyo ni mpumbavu anaongea haya sababu wao hawakuendeleza mjadala wa Katiba mpya

Labda tujiulize, Rais anayetoka si ndio aliyepo mpaka siku atakapoapa mwingine??

Kwa hiyo anataka kusema haitatokea Rais anayetoka sababu Rais anayetoka huwa hayupo Bali siku anayotoka ndio anakuwa ameshatoka na anayeingia hawezi kuja kuwa Rais anayetoka mpaka atakapotoka.

Kwa maana nyingine basi Katiba haitapatikana. Jinga kabisa huyu mzee kijana
 
Halafu hajasema kama hiyo ni Kwa Tanzania tu au duniani kote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…