Hoja ya Polepole: Katiba inatengenezwa na Rais anayetoka madarakani siyo Rais aliyeingia madarakani. CHADEMA waelewe hili

Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Katiba " Warioba" na mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema Katiba huwa inatengenezwa na Rais anayetoka madarakani na siyo Rais aliyeingia madarakani

Polepole amesema hata mzee Kikwete alitaka kutengeneza katiba mpya wakati anatoka madarakani

Hivyo wale wote wanaoshinikiza katiba mpya sasa wanafanya kosa kubwa amesisitiza Polepole.

Source: The Big Agenda Star tv.
Kwani kuna mtu amesema anataka kutengeneza Katiba ya Rais? Wanaotaka Katiba ni wananchi itakayowasaidia kuendesha nchi yao kwa ustawi wa wote. Rais anapita lakini nchi na Wananchi hawatapita mpaka utimilifu wa dahari. Kwa hiyo kama Polepole anataka kutengeneza Katiba ya Rais akamwone SASHA amsaidie kutengeneza Katiba ya Ikulu kwa kutumia uzoefu alioupata wakati wa kutengeneza Katiba ya wananchi mwaka 2014.
 
Ila Wapo watu wamepewa 'Natural inborn power'.Huyu Polepole ni mmoja Wao.
Yaani Mtu kaenda kufanya mahojiano ya Kawaida tu Kituo cha TV..! Sasa Mahojiano hayo Yamekuwa ni kama Mahojiano Ya Taifa. Mijadala kila kona.
 
Kwa mujibu wa Bwana Kikwete katiba mpya ni sasa taka msitake.
 
Ila Wapo watu wamepewa 'Natural inborn power'.Huyu Polepole ni mmoja Wao.
Yaani Mtu kaenda kufanya mahojiano ya Kawaida tu Kituo cha TV..! Sasa Mahojiano hayo Yamekuwa ni kama Mahojiano Ya Taifa. Mijadala kila kona.
Sasa kama kaongea pumba watu wasimshangae? Mtu aliyepata kupata kuwa kiongozi ngazi ya juu chamani anapogeuka viral against the leadership of the same Party lazima tumshangae.
 
Kama ndio historia hiyo, mwambie pole Samia na Polepole. Mwaka huu tunabadilisha historia. Hatuwezi kusubiri tena miongo kupata haki kwa ajili ya interest ya madaraka ya mtu mmoja. Kama wanapata madaraka kwa haki ni kwa nini waogope katiba mpya? Kama ni vya kunyonga wajaribu kuvisahau maisha yaendelee.
Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Katiba " Warioba" na mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema Katiba huwa inatengenezwa na Rais anayetoka madarakani na siyo Rais aliyeingia madarakani

Polepole amesema hata mzee Kikwete alitaka kutengeneza katiba mpya wakati anatoka madarakani

Hivyo wale wote wanaoshinikiza katiba mpya sasa wanafanya kosa kubwa amesisitiza Polepole.

Source: The Big Agenda Star tv.
 
Kuna ka ukweli flani. Rejea mchakato wa mabadiliko ya Katiba ya Zanzibar chini ya serikali ya Rais Aman Karume na Ile ya JMT chini ya Mh Kikwete. Wote walianzisha michakato kwenye terms zao za mwisho.
 
Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Katiba " Warioba" na mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema Katiba huwa inatengenezwa na Rais anayetoka madarakani na siyo Rais aliyeingia madarakani

Polepole amesema hata mzee Kikwete alitaka kutengeneza katiba mpya wakati anatoka madarakani

Hivyo wale wote wanaoshinikiza katiba mpya sasa wanafanya kosa kubwa amesisitiza Polepole.

Source: The Big Agenda Star tv.
Kama Rais ni mzalendo wa kweli na ni muhumini wa kweli anaye muogopa m/Mungu, hawezi kuogopa katiba mpya.
Mijizi pekee ndio wataotaka katiba mpya kipindi wanatoka madarakani
 
Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Katiba " Warioba" na mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema Katiba huwa inatengenezwa na Rais anayetoka madarakani na siyo Rais aliyeingia madarakani

Polepole amesema hata mzee Kikwete alitaka kutengeneza katiba mpya wakati anatoka madarakani

Hivyo wale wote wanaoshinikiza katiba mpya sasa wanafanya kosa kubwa amesisitiza Polepole.

Source: The Big Agenda Star tv.
Kama Rais ni mzalendo wa kweli na ni muhumini wa kweli anaye muogopa m/Mungu, hawezi kuogopa katiba mpya.
Mijizi pekee ndio wataotaka katiba mpya kipindi wanatoka madarakan
 
Dola ya Tanzania ilishaundwa. Hatuwezi kujadili muundo wa dola bali tunaweza kujadili baadhi ya mambo. Hata US hakuna Uhuru wa kujadili kama states ziwe kumi au 40. Dola la US lilishaundwa.
 
Back
Top Bottom