ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
- Thread starter
-
- #101
Sasa jamani Shem wewe hutaki msaidizi kwa zile siku unazokuwa haupo jamvini?? Acha ubinafsi banaaa!
kukataliwa kubaya eeeeeh?
mwambie huyo shem wako yaaan dah kwani hata akipunguza vyeo itakuwa nini?
Nadhani hilo swali ningeuliza mimi...
Sasa jamani Shem wewe hutaki msaidizi kwa zile siku unazokuwa haupo jamvini?? Acha ubinafsi banaaa!
hebu hayo masuala ya mahusino tuyaache kwanza tujadili hoja ya msingi,natarajia kupelekea mashtaka yangu kwenye kamati ya maadili ya cc
Una hoja nzuri, hebu ifafanue vizuri ieleweke na wana Cc. je umesoma uzi wangu wa jana!???
Nifafanueje sasa wakati ipo uchi? To be honest sijausoma huo uzi wako wa jana.
yah sina mkubwa we pitia tu sina kipingamizi ila usichakachukue tu nakusihi sana
hofu ondoa hapa haki mbele rushwa nyuma, kuna maswali machache ya kukuuliza ili kufunga uchunguzi ungependelea yaulizwe hapa au PM?
nini kinaendelea hapa
Acha uccm wewe..., unapenda sana vyeo eeh...!! unataka cheo gani...?? na kwa nini..!??
ni bora NIPM hapa hapa hapana!mchawi yupo ataniloga bureeee
Ukimwamini Mungu uchawi hamna mtangulize tu kwa kila jambo, kwa 99% unafaa kugombea kasoro zilizopo ni za kibinadamu haziwezi kuzuia nia yako
Kila la kheriiii