Hoja ya kumpokea Lowassa CHADEMA iwekwe kando

Papa1

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
2,023
Reaction score
2,218
Mimenusa hisia na joto la wengi kuhusu hoja ya kumkaribisha Lowasa CHADEMA - Madhara yake ni makubwa kuliko viongozi wanavyodhania. Huu ndio ukweli wenyewe:

Hata kama Lowasa angepitishwa kuwa mgombea wa CCM, bado UKAWA wangefanya vizuri maana wananchi wanakiu ya mabadiliko.

Kitendo cha Kumpitisha Magufuli kimefanya kazi ya kuichachafya CCM kuwa nyepesi zaidi maana wafuasi wa Lowasa wengine bado ungekuwa mtaji wa UKAWA hata bila kumuingiza Lowasa katika kundi la UKAWA.

Kumkaribisha Lowasa na kundi lake ni Ku-bland UKAWA, haitauwa UKAWA tena maana wanaokuja na Lowasa ni waliopitisha KATIBA mbovu, vita yetu tutakuwa tumeipoteza kwa kujisalimisha kwa adui kia aina.

Lowasa na Kundi lake ni kama mbwa mwitu. watakao baki salama ni CCM maana wao magamba yatakuwa yamevuka, yamevaliwa na CHADEMA. Chadema yenye Rostam Azizi, Karamagi, Kingunge, Lowasa, n.k siioni kama CHADEMA ya kuleta nafuu kwa walalahoi. itakuwa ni Muungano wa CCM na CHADEMA, hapo itikadi na harakati zinatakiwa zibadilike, wananchi hatukuunga nkono CHADEMA mfanye hayo.

Hii agenda ya kumpokea Lowasa mmeitoa wapi? Mbona Wabunge wa upinzani wachache waliokuwa bungeni ndio wameshawishi watu wengi kuiunga mkono kwa sababu ya hoja zao? kwani nilini Lowasa alisimama bungeni akatoa hoja ya kueleweka? Lowasa anamtazamo gani kuhusu katiba Mpya?, kuhusu ufisadi?, kuhusu muundo wa muungano? atanadi vipi ilani ya uchaguzi asiyoiamini? au kunanini hasa la ziada?

Lowasa na kundi lake wakiingia CHADEMA, wengi tutatoka CHADEMA na iko siku viongozi wote mtajikuta mnatakiwa kutoka nje ya CHAMA kwa njia ya nguvu ya vikao na katiba ya chama halafu wanabaki wao. Huu utaratibu wa mtandao hawatauacha utawatafuna nyie mnao wakaribisha watu hawa. Itakuwa kama MREMA na TLP na Ngawaiya.

Nguvu ya CHADEMA kwa sasa ni kubwa, achana na agenda ya LOWASA kuja CHADEMA, tuletee ngombea wetu asiye sehemu ya watu wa LOWASA, sisi tumeisha jiandikisha, na tunasubiri masanduku ya kupiga kura. CHADEMA bila LOWASA inawezekana. MBOWE, anayekushauri ati utapata mtaji wa watu anakuongopea. wao kama wamechukia si watupigie kura tu, unatosha. usichafue chama. Hoja yetu kwa muda mrefu ni kwamba CCM ni mafisadi, akina LOWASA, ROSTAM AZIZI, KALAMAGI, sasa wamekuwa wasafi lini? yaani kukatwa kwa LOAWASA kumewasugua na kuwasafisha??? acha mzaha, sisi tuko serious na ukombozi wa nchi hii. Bora kukosa URAIS tukawa na wabunge wengi kuliko kuwa na LOWASA kama mgombea URAIS kwa CHADEMA.

Siku moja mtakumbuka maneno yangu.
 
CCM MNA mihemko sana si mtulie!! Mmeshamaliza yenu laleni!! Acheni wengine wafanye yao!! Kuumia mtaumia tu hakuna namna nyingine sasa. Nasema mtaumia Tena sana hakuna ---- in this era. Dhambi yenu ya kuchakachua imefikia 40 zake. No way wala HAMPONI this time.
 
Kila SAA watu wako kwenye keyboard wanafanya siasa kwenye JF, inayosomwa na active members less than elfu. Kweli simba akizeeka hula maboga..

Mtatapatapa mtapatato mkubwa mwaka huu..anzisheni I'd hadi mchoke..!
 
Moto umeanza kuwaka walidhani siasa ni ulaghai sasa itakula kwao
 
Uko sahihi kabisa na huyo fisadi hatakuwa KAMWE mgombea wa urais kupitia CDM !
 
Mimenusa hisia na joto la wengi kuhusu hoja ya kumkaribisha Lowasa CHADEMA - Madhara yake ni makubwa kuliko viongozi wanavyodhania. Huu ndio ukweli wenyewe:

Hata kama Lowasa angepitishwa kuwa mgombea wa CCM, bado UKAWA wangefanya vizuri maana wananchi wanakiu ya mabadiliko.

Kitendo cha Kumpitisha Magufuli kimefanya kazi ya kuichachafya CCM kuwa nyepesi zaidi maana wafuasi wa Lowasa wengine bado ungekuwa mtaji wa UKAWA hata bila kumuingiza Lowasa katika kundi la UKAWA.

Kumkaribisha Lowasa na kundi lake ni Ku-bland UKAWA, haitauwa UKAWA tena maana wanaokuja na Lowasa ni waliopitisha KATIBA mbovu, vita yetu tutakuwa tumeipoteza kwa kujisalimisha kwa adui kia aina.

Lowasa na Kundi lake ni kama mbwa mwitu. watakao baki salama ni CCM maana wao magamba yatakuwa yamevuka, yamevaliwa na CHADEMA. Chadema yenye Rostam Azizi, Karamagi, Kingunge, Lowasa, n.k siioni kama CHADEMA ya kuleta nafuu kwa walalahoi. itakuwa ni Muungano wa CCM na CHADEMA, hapo itikadi na harakati zinatakiwa zibadilike, wananchi hatukuunga nkono CHADEMA mfanye hayo.

Hii agenda ya kumpokea Lowasa mmeitoa wapi? Mbona Wabunge wa upinzani wachache waliokuwa bungeni ndio wameshawishi watu wengi kuiunga mkono kwa sababu ya hoja zao? kwani nilini Lowasa alisimama bungeni akatoa hoja ya kueleweka? Lowasa anamtazamo gani kuhusu katiba Mpya?, kuhusu ufisadi?, kuhusu muundo wa muungano? atanadi vipi ilani ya uchaguzi asiyoiamini? au kunanini hasa la ziada?

Lowasa na kundi lake wakiingia CHADEMA, wengi tutatoka CHADEMA na iko siku viongozi wote mtajikuta mnatakiwa kutoka nje ya CHAMA kwa njia ya nguvu ya vikao na katiba ya chama halafu wanabaki wao. Huu utaratibu wa mtandao hawatauacha utawatafuna nyie mnao wakaribisha watu hawa. Itakuwa kama MREMA na TLP na Ngawaiya.

Nguvu ya CHADEMA kwa sasa ni kubwa, achana na agenda ya LOWASA kuja CHADEMA, tuletee ngombea wetu asiye sehemu ya watu wa LOWASA, sisi tumeisha jiandikisha, na tunasubiri masanduku ya kupiga kura. CHADEMA bila LOWASA inawezekana. MBOWE, anayekushauri ati utapata mtaji wa watu anakuongopea. wao kama wamechukia si watupigie kura tu, unatosha. usichafue chama. Hoja yetu kwa muda mrefu ni kwamba CCM ni mafisadi, akina LOWASA, ROSTAM AZIZI, KALAMAGI, sasa wamekuwa wasafi lini? yaani kukatwa kwa LOAWASA kumewasugua na kuwasafisha??? acha mzaha, sisi tuko serious na ukombozi wa nchi hii. Bora kukosa URAIS tukawa na wabunge wengi kuliko kuwa na LOWASA kama mgombea URAIS kwa CHADEMA.

Siku moja mtakumbuka maneno yangu.

Nampenda Lowassa kwa kuhidhohofisha CCM
 
Tulia gamba wewe. tangia lini magamba mkawa washauri wa chadema?

Kumpokea Lowasa ndani ya #CHADEMA na kuwa mwanachama wa kawaida naweza kuwaunga mkono lakini endapo #UKAWA watampitisha Lowasa kuwa mgombea kupitia #UKAWA basi huo ndo utakuwa mwisho wa #UKAWA na #CHADEMA .
#CHADEMA ina uwezo wa kushinda bila Lowasa lakini ngoja tuone nini kinachoendelea
 
mmeangalia tarehe, mwezi na mwaka wa hiyo ID ya mleta mada au mnakimbilia ku-comment tu?

Una chuki binafsi na LOWASSA

ID mpya zenye hofu na kasi ya LOWASSA zimekuwa nyingi..CCM bwana.

Kila SAA watu wako kwenye keyboard wanafanya siasa kwenye JF, inayosomwa na active members less than elfu. Kweli simba akizeeka hula maboga..

Mtatapatapa mtapatato mkubwa mwaka huu..anzisheni I'd hadi mchoke..!
 
Kama Lowassa angepitishwa kugombea urais kupitia CCM, hoja kubwa ya CDM na UKAWA wakati wa kampeni ingekuwa ni ufisadi ndani ya CCM wakimhushisha moja kwa moja Lowassa na ufisadi huo. Ilikuwa ni moja ya sababu ya CCM kutompitisha Edward Lowassa.

Haingii akilini viongozi hao hao wa CDM wampokee Lowassa huyo huyo. Inaweza kuwa njia rahisi ya CCM kuonyesha unafiki wa viongozi wa CDM wakati wa kampeni na kufanya mgombea wao kupita kirahisi.

Kibaya zaidi, kumpokea Lowassa ndani ya CDM kutaleta majeraha ndani ya chama kiasi kwamba watu watapoteza imani kabisa. Mnufaika pekee wa Lowassa kupokelewa CDM atakuwa Zitto Kabwe na ACT.
 
Mimenusa hisia na joto la wengi kuhusu hoja ya kumkaribisha Lowasa CHAkDEMA - Madhara yake ni makubwa kuliko viongozi wanavyodhania. Huu ndio ukweli wenyewe:

Hata kama Lowasa angepitishwa kuwa mgombea wa CCM, bado UKAWA wangefanya vizuri maana wananchi wanakiu ya mabadiliko.

Kitendo cha Kumpitisha Magufuli kimefanya kazi ya kuichachafya CCM kuwa nyepesi zaidi maana wafuasi wa Lowasa wengine bado ungekuwa mtaji wa UKAWA hata bila kumuingiza Lowasa katika kundi la UKAWA.

Kumkaribisha Lowasa na kundi lake ni Ku-bland UKAWA, haitauwa UKAWA tena maana wanaokuja na Lowasa ni waliopitisha KATIBA mbovu, vita yetu tutakuwa tumeipoteza kwa kujisalimisha kwa adui kia aina.

Lowasa na Kundi lake ni kama mbwa mwitu. watakao baki salama ni CCM maana wao magamba yatakuwa yamevuka, yamevaliwa na CHADEMA. Chadema yenye Rostam Azizi, Karamagi, Kingunge, Lowasa, n.k siioni kama CHADEMA ya kuleta nafuu kwa walalahoi. itakuwa ni Muungano wa CCM na CHADEMA, hapo itikadi na harakati zinatakiwa zibadilike, wananchi hatukuunga nkono CHADEMA mfanye hayo.

Hii agenda ya kumpokea Lowasa mmeitoa wapi? Mbona Wabunge wa upinzani wachache waliokuwa bungeni ndio wameshawishi watu wengi kuiunga mkono kwa sababu ya hoja zao? kwani nilini Lowasa alisimama bungeni akatoa hoja ya kueleweka? Lowasa anamtazamo gani kuhusu katiba Mpya?, kuhusu ufisadi?, kuhusu muundo wa muungano? atanadi vipi ilani ya uchaguzi asiyoiamini? au kunanini hasa la ziada?

Lowasa na kundi lake wakiingia CHADEMA, wengi tutatoka CHADEMA na iko siku viongozi wote mtajikuta mnatakiwa kutoka nje ya CHAMA kwa njia ya nguvu ya vikao na katiba ya chama halafu wanabaki wao. Huu utaratibu wa mtandao hawatauacha utawatafuna nyie mnao wakaribisha watu hawa. Itakuwa kama MREMA na TLP na Ngawaiya.

Nguvu ya CHADEMA kwa sasa ni kubwa, achana na agenda ya LOWASA kuja CHADEMA, tuletee ngombea wetu asiye sehemu ya watu wa LOWASA, sisi tumeisha jiandikisha, na tunasubiri masanduku ya kupiga kura. CHADEMA bila LOWASA inawezekana. MBOWE, anayekushauri ati utapata mtaji wa watu anakuongopea. wao kama wamechukia si watupigie kura tu, unatosha. usichafue chama. Hoja yetu kwa muda mrefu ni kwamba CCM ni mafisadi, akina LOWASA, ROSTAM AZIZI, KALAMAGI, sasa wamekuwa wasafi lini? yaani kukatwa kwa LOAWASA kumewasugua na kuwasafisha??? acha mzaha, sisi tuko serious na ukombozi wa nchi hii. Bora kukosa URAIS tukawa na wabunge wengi kuliko kuwa na LOWASA kama mgombea URAIS kwa CHADEMA.

Siku moja mtakumbuka maneno yangu.
Mkuu inaonekana mnamuogopa sana LOWASA kuwa atatoa siri zenu ccm jins mrakavyo
Shindwa mwaka huu na ID zenu mpya hizo za kipindi hiki nyie ccm tumewagundua hamna lolote huyo lowasa anawapa presha sn?ameamua kujisalumisha mapema nyie njooni acheni kumtungia hoja za uongo lowasa
 
Mimenusa hisia na joto la wengi kuhusu hoja ya kumkaribisha Lowasa CHADEMA - Madhara yake ni makubwa kuliko viongozi wanavyodhania. Huu ndio ukweli wenyewe:

Hata kama Lowasa angepitishwa kuwa mgombea wa CCM, bado UKAWA wangefanya vizuri maana wananchi wanakiu ya mabadiliko.

Kitendo cha Kumpitisha Magufuli kimefanya kazi ya kuichachafya CCM kuwa nyepesi zaidi maana wafuasi wa Lowasa wengine bado ungekuwa mtaji wa UKAWA hata bila kumuingiza Lowasa katika kundi la UKAWA.

Kumkaribisha Lowasa na kundi lake ni Ku-bland UKAWA, haitauwa UKAWA tena maana wanaokuja na Lowasa ni waliopitisha KATIBA mbovu, vita yetu tutakuwa tumeipoteza kwa kujisalimisha kwa adui kia aina.

Lowasa na Kundi lake ni kama mbwa mwitu. watakao baki salama ni CCM maana wao magamba yatakuwa yamevuka, yamevaliwa na CHADEMA. Chadema yenye Rostam Azizi, Karamagi, Kingunge, Lowasa, n.k siioni kama CHADEMA ya kuleta nafuu kwa walalahoi. itakuwa ni Muungano wa CCM na CHADEMA, hapo itikadi na harakati zinatakiwa zibadilike, wananchi hatukuunga nkono CHADEMA mfanye hayo.

Hii agenda ya kumpokea Lowasa mmeitoa wapi? Mbona Wabunge wa upinzani wachache waliokuwa bungeni ndio wameshawishi watu wengi kuiunga mkono kwa sababu ya hoja zao? kwani nilini Lowasa alisimama bungeni akatoa hoja ya kueleweka? Lowasa anamtazamo gani kuhusu katiba Mpya?, kuhusu ufisadi?, kuhusu muundo wa muungano? atanadi vipi ilani ya uchaguzi asiyoiamini? au kunanini hasa la ziada?

Lowasa na kundi lake wakiingia CHADEMA, wengi tutatoka CHADEMA na iko siku viongozi wote mtajikuta mnatakiwa kutoka nje ya CHAMA kwa njia ya nguvu ya vikao na katiba ya chama halafu wanabaki wao. Huu utaratibu wa mtandao hawatauacha utawatafuna nyie mnao wakaribisha watu hawa. Itakuwa kama MREMA na TLP na Ngawaiya.

Nguvu ya CHADEMA kwa sasa ni kubwa, achana na agenda ya LOWASA kuja CHADEMA, tuletee ngombea wetu asiye sehemu ya watu wa LOWASA, sisi tumeisha jiandikisha, na tunasubiri masanduku ya kupiga kura. CHADEMA bila LOWASA inawezekana. MBOWE, anayekushauri ati utapata mtaji wa watu anakuongopea. wao kama wamechukia si watupigie kura tu, unatosha. usichafue chama. Hoja yetu kwa muda mrefu ni kwamba CCM ni mafisadi, akina LOWASA, ROSTAM AZIZI, KALAMAGI, sasa wamekuwa wasafi lini? yaani kukatwa kwa LOAWASA kumewasugua na kuwasafisha??? acha mzaha, sisi tuko serious na ukombozi wa nchi hii. Bora kukosa URAIS tukawa na wabunge wengi kuliko kuwa na LOWASA kama mgombea URAIS kwa CHADEMA.

Siku moja mtakumbuka maneno yangu.

ukitoka wewe mmoja UKAWA wakaongezeka wapiga kura 1000,000 Kuna hasara gani??? Kwani Kuna shida?? CCM at work
 
Hazuiliwi mtu kuja chadema hata ww njoo na hata mgufuli akihamia leo chadema tutampokea tuu....
 
Ccm wamesha kaa nepi sijuwi kapotelea wapi!!
 
Kama Lowassa angepitishwa kugembea urais kupitia CCM, hoja kubwa ya CDM na UKAWA wakati wa kampeni ingekuwa ni ufisadi ndani ya CCM wakimhushisha moja kwa moja Lowassa na ufisadi huo. Ilikuwa ni moja ya sababu ya CCM kutompitisha Edward Lowassa.

Haingii akilini viongozi hao hao wa CDM wampokee Lowassa huyo huyo. Inaweza kuwa njia rahisi ya CCM kuonyesha unafiki wa viongozi wa CDM wakati wa kampeni na kufanya mgombea wao kupita kirahisi.

Kibaya zaidi, kumpokea Lowassa ndani ya CDM kutaleta majeraha ndani ya chama kiasi kwamba watu watapoteza imani kabisa. Mnufaika pekee wa Lowassa kupokelewa CDM atakuwa Zitto Kabwe na ACT.

Kwani wewe mccm inakuuma nini Lowasa kugombea upinzani? Kama ni fisadi si ndio CCM mtashinda kirahisi?
 
Baada ya kusoma post yangu, upeo wako umekufanya uamini kuwa mimi ni CCM? Soma tena!
 
watu wengi wanaoongelea madhara ya kumwingiza chadema lowassa wanaonekana ama ccm au wanafiki lakini ukweli utabaki ukweli chadema wakimwingiza lowassa ndio kifo chao kwani watu wengi wamesapoti chdema kwa sababu wanachukia ufisadi na lowassa bado fisadi leo chadema wakimkaribisha itaonekana wazi chadema hawapingi ufisadi bali wanapinga kukosa fursa ya kufanya ufisadi.
 
Back
Top Bottom