Hoja ya kubadilisha Wimbo wa Taifa

Hoja ya kubadilisha Wimbo wa Taifa

Mkuu mokaze je, unafahamu Maneno yaliyo kwenye wimbo wa Taifa wa Zambia? Je unafahamu maneno yaliyo kwenye wimbo wa Taifa wa Afrika ya kusini? Kwa tune hiyo hiyo?
Unataka kunambia huyo mzee aliwatungia lia Zambia na akawatungia na Afrika ya kusini? Sabbu maneno ni yale yale ila yamebadirishwa majina tu ya Nchi na Lugha.
Au kwako wewe kutunga ni kutafsiri kutoka lugha fulani kwenda kiswahili.

Tune (tyuni) ni jinsi ya kuimba tu wala haihusiani na maneno yaliyomo ndani ya hizo nyimbo, yaani maneno yaliyomo katika hizo nyimbo yanayo maudhui tofauti isipokuwa "tune" ni ileile. Kumbuka kuwa hakuna duniani nchi zenye wimbo mmoja wa taifa yaani contents zote za wimbo wa taifa zinazofanana exactl ila "tune" (aina ya uimbaji) inaweza kufanana.
 
Mkuu nimekuelewa nimezisikiliza nyimbo zote tatu ya Tanzania Zambia na Africa ya kusini, nilichogundua Tanzania tuna kama kaupuuzi fulani ndani yetu, ukisikiliza ujumbe ulio ndani ya wimbo wa Taifa Zambia umebeba Maneno ya hamasa kwa Taifa lao, hulisikii neno Africa likitajwa kwenye ubeti wa kwanza wala mwisho isipokiwa Zambia.
Wimbo wa Africa ya kusini unaanza na Mungu ibariki Africa huenda sabbu wanajulikana hivyo Africa......
Lakini mistari yote yanayofuatia yanaelezea Taifa lao, Inakuwaje sisi Tanzania ubeti mzima wa Kwanza Tunaielezea Africa kwenye wimbo wetu wa Taifa? Na sio wa bara zima?
WIMBO WA TAIFA TANZANIA HAUNA ARI WALA HAMASA YA UZALENDO KWA TAIFA LETU ni vema ama lazima ubadirishwe..
Wadau wengine wanaweza leta mashairi hapa ya wimbo wa zambia na Afrika kusini tufananishe na maneno yaliyo kwenye wimbo wetu.
 
Mkuu Tazama Ramani ndio mbadala wa wimbo wa sasa.
 
Back
Top Bottom