Nafikiri Tanzania nakupenda kwa moyo wote ndio ungekuwa wimbo wa Taifa letu.
Unaweza kufanyiwa marekebisho na kuingiza ubeti juu ya Muumba.Hauna tofauti sana na wimbo wa kumpamba tu mpenzi wako. Ni wimbo mzuri, lakini hauweki msisitizo kwenye nguzo muhimu za taifa. Pia sio kawaida kwa wimbo wa taifa lolote kumalizika bila kutoa rai kwa Mungu kuliweka taifa kwenye mbawa zake!
Mtunzi wa wimbo huu sio Mtanzania, hivyo huenda hata hati miliki au umiliki wa Utunzi wa Wimbo huu sio wa Tanzania, (sio Wetu)..
Unaweza kufanyiwa marekebisho na kuingiza ubeti juu ya Muumba.
Mtunzi wa huu wimbo Ni muafrica na Africa Ni moja. Huu wimbo ni wakihistoria ndio maana mataifa kadhaa wanautumia. Hizo hisia za kuupinga zitoke kabisa ndani yetu
Ni jamaa kutoka Africa ya kusini miaka mingi sana iliyo pita
Afu nliskia alishafariki au nimedailut madesaNi jamaa kutoka Africa ya kusini miaka mingi sana iliyo pita
Yule sjui sontonga Enoch alifanya kazi ganSio, kweli, iweje wimbo wa taifa letu tutungiwe na mtu kutoka nje???.
Wimbo wa taifa ulitungwa na Sheikh Kaluta Amri Abeid kaluta, huyu alikuwa waziri wa sheria na baadaye akawa waziri wa utamaduni enzi za Mwalimu nyerere.
Uwanja wa Arusha (Amri Abeid memorial stadium) umepewa jina kwa heshima yake.
Tune ya huo wimbo ndio ilitoka South Africa; Tanzania, Zambia na South Africa zina tune moja za nyimbo zao za taifa.
Mapenzi juu ya nini?Kuongeza ubeti mmoja juu ya Muumba kwenye love song hakuifanyi love song kuwa national anthem.
Ukilinganisha maudhui ya huu wimbo na yale ya wimbo wa sasa wa taifa, utagundua kuwa kweli hii ni love song na mwingine ni national anthem!
Kuibadili hii love song kuwa national anthem, lazima hii love song ifanyiwe total overhaul.
Yule sjui sontonga Enoch alifanya kazi gan
Sio, kweli, iweje wimbo wa taifa letu tutungiwe na mtu kutoka nje???.