chilamanyika
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 405
- 272
Halima Mdee na wenzake 18 siyo wanachama tena wa Chadema,sasa unataka Chadema wajadili nini juu ya wanaccm hao?Habari wana jamvi,
Kama wewe ni mfuatiliji wa siasa za bongo utanielewa. Ni kwanini viongozi wote wa chadema hawaongei kuhusu wabunge wa viti maalumu ambao walipewa jina covid 19. Ni jambo la kushangaza sana.
Mikutano ya hadhara imefunguliwa Kwa Kasi kubwa na hoja nyingi kemkem lkn hojja ya Halima na wenzake haipo kabisa midomon mwa viongozi kuna nini.
Hilo jambo lipo mahakamaniHabari wana jamvi,
Kama wewe ni mfuatiliji wa siasa za bongo utanielewa. Ni kwanini viongozi wote wa chadema hawaongei kuhusu wabunge wa viti maalumu ambao walipewa jina covid 19. Ni jambo la kushangaza sana.
Mikutano ya hadhara imefunguliwa Kwa Kasi kubwa na hoja nyingi kemkem lkn hojja ya Halima na wenzake haipo kabisa midomon mwa viongozi kuna nini.
alisain huku wewe ukishuhudiailikufa kwakuwa aliyesaini hao wawe wabunge ni Mbowe
Mama yakoambayo wewe na familia yako huwa mnapewa.
chadema ilishawafukuza hao malaya wao ndio wanatapatapa mahakaman.Hilo jambo lipo mahakamani
mama yangu hawez kuwa kwenye genge la watu wajinga kama fikra zako.Mama yako
Mama yakomama yangu hawez kuwa kwenye genge la watu wajinga kama fikra zako.
na mamako jeMama yako
Mama yakona mamako je
na mamako jeMama yako
Umeongea ujinga chief au hujui ili swala?Mfano ukishampa talaka mkeo unaendelea kumzungumzia wa nini
Mama yakona mamako je
Tupo kwanza na historia ya nchi yetu kuanzia 2015 tulipovamiwa na mkoloni mweusi kutoka Chato hadi tulipopata uhuru tena tarehe 17/03/2023.Habari wana jamvi,