Izack Mwanahapa
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 497
- 236
Kimsingi watu wanapounda kamati ndogo ya kushughulikia jambo fulani huwa na malengo maalum, na kamati hiyo inatakiwa kuwa huru ili kufanya kazi yake kwa ufasaha. Hatuya ya kamati kuu ya ccm kumshauri kikwete kukutana na vyama vyote vya siasa imelenga kudhoofisha hoja ya Chadema kwani kama tunavyofahamu vipo vyama vinavyounga mkono mswada wa katiba vikiwemo CUF na TLP. Kama kweli vyama vyote vya upinzani vitakutana na rais tutegemee vichwa vya habari hivi hapa:
1. "Wapinzani wakaangana wao kwa wao"
2. "Mswada wa katiba kusainiwa kama kawaida; Ni baada ya wapinzani kukinzana"
3. Wapinzani watofautiana hoja ya katiba"
1. "Wapinzani wakaangana wao kwa wao"
2. "Mswada wa katiba kusainiwa kama kawaida; Ni baada ya wapinzani kukinzana"
3. Wapinzani watofautiana hoja ya katiba"